'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

Status
Not open for further replies.

Kwanza hajaona kama Sugu hana marketing strategy ambayo ni sahihi.

Pili mleta mada hajui terms za mkopo huo kama zitakuwa affordable ama la kwa Sugu. Hata wewe rafiki hapa hujui kama riba ndilo litakuw atatizo la Sugu au hata kama Sugu atakuwa na shida katika marejesho.

Sugu hajasema kama biashara yake na mkopo wake hauna bima au hata hajaulizwa ili mshadadiaji ajue kama anafanya investment isiyokuwa na kinga dhidi ya yasiyotarajiwa.

Gharama za uendeshaji wa Sugu ni zipi? Nani ana statement yake ya hiyo hotel aweke hapa tuone kama anaendesha ka hasara, au ana tumia irrelevant and inappropriate technology.

Kumpgia mtu ramli kwa ushabiki ni dhambi. Aongee na Sugu ili ajue ni changamoto gani anaforesee, afanye tathmini ya mpango wa biashara ya sugu, ndipo aweze ku foresee nini Sugu hakijui na ambacho kitaathiri biashara yake bila yeye kujua wala kutegemea halafu alete mjadala hapa.
 

Halafu kweney chaguzi wanatangazwa wateule, bial kujali ni washindi ama la.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…