'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

Status
Not open for further replies.

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa benki ya crdb.. Hoteli hiyo aliyoiita jina la Desderia hotel ambalo ni jina la mtot wake aliyezaa na mdada maarufu kwa jina la faiza..

Tatizo ni kwamba mkopo alipata enzi za kikwete ila hoteli inakamilika kipindi cha magu ambapo mteja mkuu wa industry ya hotel ambaye ni serikali amepigwa marufuku kutumia hoteli binafsi na kumbi zake kwa huduma za kiserikali kitendo kilichopelekea hoteli nyingi kufunga virago na kuuzwa na nyingine kubadilisha matumiz kuwa hostel na kadhalika..
Tatizo ninaloliona hapa kwa sugu ni je?

Ataweza ku operate hoteli kipindi ambacho hoteli zinapata hasara kwa kukimbiwa na mteja mkuu ambaye ni serikali na kudorora sekta ya utalii?. Na je huo mkopo wa mabillioni kutoka crdb ataulipa vipi huku ccm ikimungalia kwa jicho la tamaa jimboni mbeya 2020? Je sugu yuko tayari kufilisiwa mali zake kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki ya crdb 2020 au ndiyo anaandaliwa mazingira ya kukabidhi jimbo la mbeya mjini kwa hiari kwa ccm 2020?..

Sugu haoni bosi wake mbowe anavyohenyeshwa kwenye club zake na hoteli zake kwa madeni madogo zaidi au ndo msaliti mtarajiwa wa ukawa?

..........
..........Mimi nimetoa kama angalizo tu la kisiasa kwamba hilo deni lake lisije likamuweka mtegoni akashawishiwa kirahisi kwenye uchaguzi 2020 sasa mambo ya wewe una nini si mipasho hiyo ya kijinga.. Kwani mifano hai ipo ya wanasiasa kushawishiwa na vyama tawala inapokuja maswala ya kufilisiwa mfano ni john cheyo

..........
.........Mbunge anayekopa bill 10 ana vigezo gani kama siyo political favors.. Muulize mzindakaya kama alilipa mkopo wake wa bill 10. Magufuli mwwnyewe kaongea juzi wanasiasa wanakopa na hawarudishi.. Kuna mbunge moja arusha kakopa 12 bill na anapita kuomba asamehewe. We unafikiri mikopo ya wanasiasa ina pitia scrutiny kama mimi na wewe? ukiwa mwana kamati fulani wa bunge mikopo njenje hata nssf unaenda unapewa tu billioni kadhaa.. So usiongelee vigezo vya mikopo ya benki hapa. Wengine uwa wanakopeshwa ili wakamatike wakati muafaka.

1.png
2.png
3.png
4.png
6.png
 
Kwanza Sugu ni mwanamziki
Shoo yake moja anachukuliwa kwa milioni tano na kila siku anapewa ofa lakini kulingana na majukumu ya kibunge anashindwa kwenda kupiga shoo
Mdomo wake ndio mtaji wake yeye kama yeye akiamua azunguke tanzania nzima kupiga shoo atakusanya sh ngap?
Na unajuwa ana semi ngapi? zina muingizia sh ngap kwa kila mwezi

Usikurupuke Sugu ni habari ingine
 
Sawa mimi si ccm wala serikali ila ujue crdb ni benki yenye hisa za serikali na kuna influence kubwa.. Wakiamua kumbana bwana sugu kuna vipengele vingi sana kummaliza.. Na hii serikali unaijua?
 
Usikurupuke kaka unapo enda kukopa bank kuna utaratibu wake na mkopaji na mkopwaji wote wana lidhiana sio kama mwizi ameenda kwenye mti wa maembe na kutingisha mti kisha kuanza kuokota
Kila kitu na utaratibu wake

We unajuwa sugu kakopa sh ngap?
mtoa mada yuko sahihi kwa hali ya sasa hivi uchumi umeyumba sana, sisi wafanyabiashara tunapata shida sana kurejesha madeni kwa bank. kwa yeyote ambaye amekopa bank na kufanya uwekezaji mpya laiti angelijua kuwa hali ya uchumi ingeyumba hivi wengi tusingelikopa kabisa. sasa hivi mikopo imekuwa ni mateso makubwa kwakuwa biashara mbaya sana.
 
Kumbuka Sugu ni mbunge ni mwanamziki ni mkulima pia ni mfanya biashara

Kwaiyo wewe mfanya biashara unategemea kazi moja tuu ya kufanya biashara huwezi kujilinganisha na Sugu

Harafu usiseme hakuna pesa sema sina pesa maana watu wengine wana kula raha tuu kama kawaida
 
Nimetoa mada kama mchambuzi tu sasa wanazani mimi nimekuja na ajenda za chama hii ni warning kwa mwekezaji kama kuna namna atafute suluhu mapema kwa vyoyvyote vile ccm lazima itatumia deni hili kama fursa 2020 ukizingati unyeti wa jimbo la mbeya
 
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa benki ya crdb.. Hoteli hiyo aliyoiita jina la Desderia hotel ambalo ni jina la mtot wake aliyezaa na mdada maarufu kwa jina la faiza.. Tatizo ni kwamba mkopo alipata enzi za kikwete ila hoteli inakamilika kipindi cha magu ambapo mteja mkuu wa industry ya hotel ambaye ni serikali amepigwa marufuku kutumia hoteli binafsi na kumbi zake kwa huduma za kiserikali kitendo kilichopelekea hoteli nyingi kufunga virago na kuuzwa na nyingine kubadilisha matumiz kuwa hostel na kadhalika..
Tatizo ninaloliona hapa kwa sugu ni je? Ataweza ku operate hoteli kipindi ambacho hoteli zinapata hasara kwa kukimbiwa na mteja mkuu ambaye ni serikali na kudorora sekta ya utalii?. Na je huo mkopo wa mabillioni kutoka crdb ataulipa vipi huku ccm ikimungalia kwa jicho la tamaa jimboni mbeya 2020? Je sugu yuko tayari kufilisiwa mali zake na kwenda jela kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki ya crdb 2020 au ndiyo anaandaliwa mazingira ya kukabidhi jimbo la mbeya mjini kwa hiari kwa ccm 2020?.. Sugu haoni bosi wake mbowe anavyohenyeshwa kwenye club zake na hoteli zake kwa madeni madogo zaidi au ndo msaliti mtarajiwa wa ukawa? View attachment 463161View attachment 463162View attachment 463163View attachment 463164View attachment 463165View attachment 463166

Kwa akili zako kukopa mkopo ni kuingia chaka?

Alikuambia anajenga hotel kwa ajili ya seriklali nani?

Kwanza tangu lini serikali ikafanya biashara na wapinzani zaidi ya kutafuta kuwamaliza?

Unadhani anategemea akili ya umati kufanya biashara?
 
Nimetoa mada kama mchambuzi tu sasa wanazani mimi nimekuja na ajenda za chama hii ni warning kwa mwekezaji kama kuna namna atafute suluhu mapema kwa vyoyvyote vile ccm lazima itatumia deni hili kama fursa 2020 ukizingati unyeti wa jimbo la mbeya

Huo siyo uchambuzi. Mchambuzi hana mtazamo mmoja, mchambuzi hana biase, mchambuzi hafanyi conclusio, mchambuzi hana ushabiki.

Lakini wewe hoja yako tayari umeshakwenda kuonyesha ujinga zaidi kwamba kukopa bank ni kuingia chaka,

Kwamba hataweza kulipa.

Kwamba anategmea serikali kkodisha hotel yake.

Kwamba anategemea fedha za ubunge tu.

Huwezi kkuwa mchambuzi wakati tayari umethibitisha ushabiki na bahati mbaya ukaonyesha uchambuzi wa kiwango cha chni hivyo kuzuia hata mjadala.

Unaonyesha kuhitaji kueleweshwa lakini hujui, unahitaji kwanza kuondoa dhana ya ushabiki, kukandika, wivu na pia jifunze kukusanya taarifa za kutosha kabla ya kujiita mchambuzi wa jambo usilolijua.
 
Kumbuka Sugu ni mbunge ni mwanamziki ni mkulima pia ni mfanya biashara

Kwaiyo wewe mfanya biashara unategemea kazi moja tuu ya kufanya biashara huwezi kujilinganisha na Sugu

Harafu usiseme hakuna pesa sema sina pesa maana watu wengine wana kula raha tuu kama kawaida
uko sahihi lakini tunajaribu kuangalia hali ya jumla, kuna watu kipindi hiki cha economic crisis watajitajilisha kwelikweli. chukulia mtu ambaye alihifadhi tani nyiki za mahindi na mpunga lazima mtu huyu atakuwa millionaire. lakini uchumi wetu umejengwa kwa msingi mkuu wa kilimo cha kutegemea mvua, hivyo kutokana na ukame huu katika maeneo mengi ya nchi kila mmoja wetu ataathilia kwa namna yake inaweza isiwe moja kwa moja lakini kuna athari kwa kila mmoja wetu hadi uzalishaji wa viwanda.
 
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa benki ya crdb.. Hoteli hiyo aliyoiita jina la Desderia hotel ambalo ni jina la mtot wake aliyezaa na mdada maarufu kwa jina la faiza.. Tatizo ni kwamba mkopo alipata enzi za kikwete ila hoteli inakamilika kipindi cha magu ambapo mteja mkuu wa industry ya hotel ambaye ni serikali amepigwa marufuku kutumia hoteli binafsi na kumbi zake kwa huduma za kiserikali kitendo kilichopelekea hoteli nyingi kufunga virago na kuuzwa na nyingine kubadilisha matumiz kuwa hostel na kadhalika..
Tatizo ninaloliona hapa kwa sugu ni je? Ataweza ku operate hoteli kipindi ambacho hoteli zinapata hasara kwa kukimbiwa na mteja mkuu ambaye ni serikali na kudorora sekta ya utalii?. Na je huo mkopo wa mabillioni kutoka crdb ataulipa vipi huku ccm ikimungalia kwa jicho la tamaa jimboni mbeya 2020? Je sugu yuko tayari kufilisiwa mali zake na kwenda jela kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki ya crdb 2020 au ndiyo anaandaliwa mazingira ya kukabidhi jimbo la mbeya mjini kwa hiari kwa ccm 2020?.. Sugu haoni bosi wake mbowe anavyohenyeshwa kwenye club zake na hoteli zake kwa madeni madogo zaidi au ndo msaliti mtarajiwa wa ukawa? View attachment 463161View attachment 463162View attachment 463163View attachment 463164View attachment 463165View attachment 463166
Kwahiyo unazan mbeya ndiyo kama dar umechemsha mkuu huyo ana vitega uchumi na kuhusu biashara zake nazan sio lazima serikal kuwa Wateja. Kama hujui mbeya biashara za malodge na hotel zinawalipa kwa sababu hata bei zao sio kubwa sana ni wastan wa 50000 had 100000
 
Nimetoa mada kama mchambuzi tu sasa wanazani mimi nimekuja na ajenda za chama hii ni warning kwa mwekezaji kama kuna namna atafute suluhu mapema kwa vyoyvyote vile ccm lazima itatumia deni hili kama fursa 2020 ukizingati unyeti wa jimbo la mbeya
Sidhani kama umetoa mada kama mchambuzi bali kama kada. Ulisikia wapi mtu amefungwa kwa sababu ya mkopo? Collaterals ndizo zinazolipa mkopo na kama crdb walijichanganya wanaweza wakapata hasara wao na si Sugu
 
Masikini hua mnatafuta mtu mwenye nazo mumpondee ili mpate uafadhali moyoni, we fanya yako, mambo personal ya Sugu muachie Sugu, yeye anajenga hoteli, wewe unajenga nini? Na aliyekwambia hoteli zimekufa nani? kufungwa hoteli mbili tatu kwenye media ndiko kunakufanya ufikirie biashara ya hoteli imekufa? hehehe! pole sana mtanzania.

Huu uongozi wa sasa hivi umekuja umekuta Instagram, Facebook, Twitter, JF, story zinasambaa sana ndio maana information ndogo kama hizo unajikuta unazipata unafikiri tupo kwenye hali mbaya, hoteli zimekua zinafungwa miaka nenda rudi kabla Magu hajaingia ikulu, hata miaka ya mbele nyingine zitajengwa na nyingine zitafungwa, ndivyo biashara ilivyo miaka yote, hakuna mabadiliko yoyote yale significant.
 
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa benki ya crdb.. Hoteli hiyo aliyoiita jina la Desderia hotel ambalo ni jina la mtot wake aliyezaa na mdada maarufu kwa jina la faiza.. Tatizo ni kwamba mkopo alipata enzi za kikwete ila hoteli inakamilika kipindi cha magu ambapo mteja mkuu wa industry ya hotel ambaye ni serikali amepigwa marufuku kutumia hoteli binafsi na kumbi zake kwa huduma za kiserikali kitendo kilichopelekea hoteli nyingi kufunga virago na kuuzwa na nyingine kubadilisha matumiz kuwa hostel na kadhalika..
Tatizo ninaloliona hapa kwa sugu ni je? Ataweza ku operate hoteli kipindi ambacho hoteli zinapata hasara kwa kukimbiwa na mteja mkuu ambaye ni serikali na kudorora sekta ya utalii?. Na je huo mkopo wa mabillioni kutoka crdb ataulipa vipi huku ccm ikimungalia kwa jicho la tamaa jimboni mbeya 2020? Je sugu yuko tayari kufilisiwa mali zake na kwenda jela kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki ya crdb 2020 au ndiyo anaandaliwa mazingira ya kukabidhi jimbo la mbeya mjini kwa hiari kwa ccm 2020?.. Sugu haoni bosi wake mbowe anavyohenyeshwa kwenye club zake na hoteli zake kwa madeni madogo zaidi au ndo msaliti mtarajiwa wa ukawa? View attachment 463161View attachment 463162View attachment 463163View attachment 463164View attachment 463165View attachment 463166
Atafanya hostel tu, Mbeya shule si zipo? Ukiogopa utashindwa kufanya jambo lolote... Asante Mungu kwa kificha SAA na Dk ya MTU kufa maana binadam asingefanya lolote la maendeleo.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom