Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 3, 2024 #21 johnthebaptist said: The same to UVCCM Chairman Mh Kalinga? πΌ Click to expand... yeyote anaetumia chama chake kuficha uovu wake, huyo ni useless, kabisa siasa ni kujipanga ndrugo zango
johnthebaptist said: The same to UVCCM Chairman Mh Kalinga? πΌ Click to expand... yeyote anaetumia chama chake kuficha uovu wake, huyo ni useless, kabisa siasa ni kujipanga ndrugo zango
loliondokwetu JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 1,376 Reaction score 1,752 Dec 3, 2024 #22 FUSO said: Kosa lake ni kumsema mama Adbul. Click to expand... Sio mama abuduli,ni kumsema mkaza mwana wa mama abuuu wa kule tandale.
FUSO said: Kosa lake ni kumsema mama Adbul. Click to expand... Sio mama abuduli,ni kumsema mkaza mwana wa mama abuuu wa kule tandale.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Dec 3, 2024 Thread starter #23 Tlaatlaah said: yeyote anaetumia chama chake kuficha uovu wake, huyo ni useless, kabisa siasa ni kujipanga ndrugo zango Click to expand... Mbona wewe unatumia Jf kujificha πππ
Tlaatlaah said: yeyote anaetumia chama chake kuficha uovu wake, huyo ni useless, kabisa siasa ni kujipanga ndrugo zango Click to expand... Mbona wewe unatumia Jf kujificha πππ
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 3, 2024 #24 johnthebaptist said: Mbona wewe unatumia Jf kujificha πππ Click to expand... Gentleman, mimi siwezi kujificha bana, na mimi ni mtu wa kusema ukweli tupu, yanini kujificha? kumbuka, JF ni jukwaa na fursa huru ya kuelezana mambo ya kweli kinagaubaga wanaofanya mabo kwenye kificho ni hawa wanaibuka mchana kweupe na mangeu
johnthebaptist said: Mbona wewe unatumia Jf kujificha πππ Click to expand... Gentleman, mimi siwezi kujificha bana, na mimi ni mtu wa kusema ukweli tupu, yanini kujificha? kumbuka, JF ni jukwaa na fursa huru ya kuelezana mambo ya kweli kinagaubaga wanaofanya mabo kwenye kificho ni hawa wanaibuka mchana kweupe na mangeu
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,329 Reaction score 2,169 Dec 3, 2024 #25 johnthebaptist said: Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania Sugu amelia sana huko Ukurasani X Kuhusu Abdul Nondo kudaiwa kutekwa, soma Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli View attachment 3168086 Click to expand... Mara ametekwa na watawala mara na wasiojulikana Tushike lipi?
johnthebaptist said: Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania Sugu amelia sana huko Ukurasani X Kuhusu Abdul Nondo kudaiwa kutekwa, soma Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli View attachment 3168086 Click to expand... Mara ametekwa na watawala mara na wasiojulikana Tushike lipi?