Sugu: Sasa Dogo Abdul anakuwaje tishio kwa watawala? Napata shaka maana kuteka, kuumiza na kuua Watu siyo maamuzi ya Kitanzania

Sugu: Sasa Dogo Abdul anakuwaje tishio kwa watawala? Napata shaka maana kuteka, kuumiza na kuua Watu siyo maamuzi ya Kitanzania

Mbona wewe unatumia Jf kujificha 😂😂😂
Gentleman,
mimi siwezi kujificha bana, na mimi ni mtu wa kusema ukweli tupu, yanini kujificha?

kumbuka,
JF ni jukwaa na fursa huru ya kuelezana mambo ya kweli kinagaubaga

wanaofanya mabo kwenye kificho ni hawa wanaibuka mchana kweupe na mangeu :pulpTRAVOLTA:
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu ameshangaa Watawala wanamhofia nini Dogo Abdul Nondo

Sugu amesema ana wasiwasi na uraia wa Watekaji kwa sababu kuteka, Kuumiza na Kuuwa siyo maamuzi ya Kitanzania

Sugu amelia sana huko Ukurasani X

Kuhusu Abdul Nondo kudaiwa kutekwa, soma Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

View attachment 3168086
Mara ametekwa na watawala mara na wasiojulikana


Tushike lipi?
 
Back
Top Bottom