GE2025 Sugu: Siyo lazima tuuane ndio tukae mezani, tuzungumze kama Taifa, huo ndio uzalendo

GE2025 Sugu: Siyo lazima tuuane ndio tukae mezani, tuzungumze kama Taifa, huo ndio uzalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza leo Agosti 20, 2025 kwa njia ya Mtandao, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema Taifa halitakiwi kuishi kwenye makovu, bali Wadau wanatakiwa kuzungumza kuokoa Taifa kuingia kwenye machafuko.
Yule Dogo ,msanii mwigiza sauti ya baba wa Taifa akisika hili ,anatamani apasuke maana sema ukweli chadema imewanufaisha sana walio upande ule, swala ni kuja na project namna ya kuiumiza chadema pesa hizo ,vyeo hivyo

Tz we njoo na project ya kuimiza chadema maisha tiyari yananyooka , ayo maproject sijui ya kilimo ,anzisha kiwanda cha kati utasugua bench mpaka upate usugu.
 
Mambo ya kutekana,kupotezana ya kishamba sana

Ova
 
Back
Top Bottom