GE2025 Sugu: Siyo lazima tuuane ndio tukae mezani, tuzungumze kama Taifa, huo ndio uzalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
Akizungumza leo Agosti 20, 2025 kwa njia ya Mtandao, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema Taifa halitakiwi kuishi kwenye makovu, bali Wadau wanatakiwa kuzungumza kuokoa Taifa kuingia kwenye machafuko.
 
Afadhali,nilikuwa na hofu sana kuwa anaenda Chauma
Sasa akienda Chauma shida iko wapi, hayo ni maisha yake na wewe ishi ya kwako. Sugu anapigania tumbo lake na wewe una la kwako.
 
Yule Dogo ,msanii mwigiza sauti ya baba wa Taifa akisika hili ,anatamani apasuke maana sema ukweli chadema imewanufaisha sana walio upande ule, swala ni kuja na project namna ya kuiumiza chadema pesa hizo ,vyeo hivyo

Tz we njoo na project ya kuimiza chadema maisha tiyari yananyooka , ayo maproject sijui ya kilimo ,anzisha kiwanda cha kati utasugua bench mpaka upate usugu.
 
Mambo ya kutekana,kupotezana ya kishamba sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…