GE2025 Sugu: Tunataka matokeo ya Urais kuweza kupingwa mahakamani

GE2025 Sugu: Tunataka matokeo ya Urais kuweza kupingwa mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo kwa njia ya mtandao, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amesema kwamba moja ya reforms ambazo zinatakiwa kufanyika ni matokeo ya Urais kuweza kupingwa mahakamani

Anasema kuwa inatakiwa kama wapinzani hawayaamini matokeo ya Urais basi inatakiwa wawe na uwezo wa kupinga matokeo hayo ya Urais mahakamani

 
Katiba yetu ni ya ajabu, hicho kipengele cha kutokupinga matokeo ya uraisi kimepachikwa kivipi?
 
Back
Top Bottom