Wakuu,
Hivi ina maana SUGU na Ruge wa biff kubwa kiasi hiki!!!
Nimesikia album ya SUGU inayoitwa "anti-virus" na inayopatikana on-line bure ni balaa!! Maana SUGU anatukana live na kuelelza jinsi RUGE & Clouds team wanavyowanyonya wasanii kwa kuwatumia kwa kisingizio cha promo!!!
Hii sasa ni balaa!!!
Natamani kuona mwisho wa hii vita maana najua mh Sugu ana hasira nao hasa, nakumbuka kuna siku nilisikia kipindi cha Jahazi wakati wa kampeni Bwana Kibonde anamkandia sana Sugu kuwa hawezi pata ubunge, muziki umemshinda anarukia siasa!
kitendawili cha Kibonde kimeteguliwa tarehe 31 Oktoba 2010, kwani Sugu sasa ni Mheshimiwa, ubunge kaupata. Labda sasa Kibonde azue balaa jingine tena!! Kibonde ajae chonjo asije shushiwa mistari na Mheshimiwa!!!
kweli wewe ni pamba aisee... maana ni mwepesiiiiNdio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.
Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.
Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.
akalilie ile tenda yake ya malaria
Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.
He managed to fool some 40ty thousand people, in a big municipality..now that some foolin he did eh ?....ur hatred made him a star, now swallow ur pride and bow to the king...nuff said!Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.
akalilie ile tenda yake ya malaria
Mama mdogo, hiyo mistari mbona keshashushiwa ya kutosha! Tumuombe Mh Sugu awasamehe tu hawa jamaa! Hiv umeskiliza antivirus? Ndugu yangu ina ukakasi balaa!....kama una ubavu wa kuisikiliza sema tukurushie! Ni ngumu mkuu.