SUGU v/s RUGE & Clouds Team

SUGU v/s RUGE & Clouds Team

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2009
Posts
4,354
Reaction score
1,010
Wakuu,

Hivi ina maana SUGU na Ruge wa biff kubwa kiasi hiki!!!
Nimesikia album ya SUGU inayoitwa "anti-virus" na inayopatikana on-line bure ni balaa!! Maana SUGU anatukana live na kuelelza jinsi RUGE & Clouds team wanavyowanyonya wasanii kwa kuwatumia kwa kisingizio cha promo!!!

Hii sasa ni balaa!!!
 
ukweli unauma lazima awaeleze na ss sugu ni mh
 
Lakini akumbuke yeye kwasasa ni mhe,hivyo yaliyopita yamepita ikiasi chakumaliza biff hizo kwani sasa ameshapata uwanja wakuzungumzia zaidi kwenye uwanja wa mziki.
 
Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.
 
Wakuu,

Hivi ina maana SUGU na Ruge wa biff kubwa kiasi hiki!!!
Nimesikia album ya SUGU inayoitwa "anti-virus" na inayopatikana on-line bure ni balaa!! Maana SUGU anatukana live na kuelelza jinsi RUGE & Clouds team wanavyowanyonya wasanii kwa kuwatumia kwa kisingizio cha promo!!!

Hii sasa ni balaa!!!

Inaonekana wewe ulijitenga na media kwa muda mrefu sana, mbona hiyo stori ni ya siku nyingi sana.
 
Natamani kuona mwisho wa hii vita maana najua mh Sugu ana hasira nao hasa, nakumbuka kuna siku nilisikia kipindi cha Jahazi wakati wa kampeni Bwana Kibonde anamkandia sana Sugu kuwa hawezi pata ubunge, muziki umemshinda anarukia siasa!
 
kitendawili cha Kibonde kimeteguliwa tarehe 31 Oktoba 2010, kwani Sugu sasa ni Mheshimiwa, ubunge kaupata. Labda sasa Kibonde azue balaa jingine tena!! Kibonde ajae chonjo asije shushiwa mistari na Mheshimiwa!!!
 
Mama mdogo, hiyo mistari mbona keshashushiwa ya kutosha! Tumuombe Mh Sugu awasamehe tu hawa jamaa! Hiv umeskiliza antivirus? Ndugu yangu ina ukakasi balaa!....kama una ubavu wa kuisikiliza sema tukurushie! Ni ngumu mkuu.
 
Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.
kweli wewe ni pamba aisee... maana ni mwepesiiii

Ungejua kwamba sugu anarepresent hip hop kiukweli wala usingesema hayo uliyosema
 
Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.

Hujambo mzee wa Jahazi? Vp inachoma eeh! huyo ndy muheshimiwa sugu-upende usipende utamwita mh. tena amesimama jukwaani na kuomba kumwaga sera za maana na watu wenye akili zao wakamwelewa!..we umeshawahi kugombea hata ukiranja ukashinda? lolz
 
Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.

unajua unachoongea wewe? Sugu haimbi na hajawahi kuimba, enika, banana zoro, lady jaydee wale ndo wanaimba, usikurupuke wewe!
 
akalilie ile tenda yake ya malaria

umesoma mpaka darasa la ngapi? hakuwahi kuwa na TENDER ya malaria, kama hamjui vitu muwe mnakaa kimya, naona na wewe mwepesi kama pamba
 
Ndio maana anaitwa sugu,
huyu jamaa hana chochote kuimba hajui anarukia siasa kudanganya watu bure.
He managed to fool some 40ty thousand people, in a big municipality..now that some foolin he did eh ?....ur hatred made him a star, now swallow ur pride and bow to the king...nuff said!
 
akalilie ile tenda yake ya malaria

tenda gani ya malaria sugu.. alafu hizi anonymous user names JF sugu ndie malaria sugu, mnajikuita mlikuwa mkimsemea mbofu muheshimiwa.. hehehe
 
Inaonekana wewe ulijitenga na media kwa muda mrefu sana, mbona hiyo stori ni ya siku nyingi sana.

Ni kweli mkuu, nilikuwa na ka shule kadogo fulani ughaibuni!!!

Nilivyosikia hiyo album ya Anti-Virus, nikachoka sana!!
 
Mama mdogo, hiyo mistari mbona keshashushiwa ya kutosha! Tumuombe Mh Sugu awasamehe tu hawa jamaa! Hiv umeskiliza antivirus? Ndugu yangu ina ukakasi balaa!....kama una ubavu wa kuisikiliza sema tukurushie! Ni ngumu mkuu.

Nitumie mkuu!
 
Back
Top Bottom