elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Wajua mziki inabidi ukupe ujumbe huku ukikuburudisha, kama msanii hakuweza fanya hilo basi ni wazi kuwa utakuboa na hutausikiliza tena. Ni infact ni wazi mashairi ya FA yatakufanya uwaze zaidi kuliko mashairi ya sugu. Sugu namkubari kama mwanaharakati na mwasisi wa mziki wa Hip Hop lakini niki compare miziki yake na FA, kwangu sugu miziki yake ni low.
Hip Hop ya mwaka 1990 ni tofauti na ya leo ukiimba style ile ya miaka ile ni wachache watakusikiliza mziki unabadilika na kumbuka mziki unaimbia watu wasikilize so ukiimba kitu ambacho ni wachache watakao sikiliza sidhani kama ina make sense
Hao ndio wakali Don Town ukweli wote wanaujuwa, hata kipindi kile kwenda Mantoni ilikuwa ni maujiko uliza ni msanii gani mwenye wa kwanza kula pipa kwenda viwanja?Dogo leo umeongea point!!
unajua watu walioanza kuujua mziki miaka ya jk hawawezi kumfahamu sugu. Ndo maana wanataka kumlinganisha na mwana FA. Unakumbuka enzi za niko mikononi mwa polisi? Wanataka kutuambia ujinga wa fa wa bado niponipo ni sawa na mashairi ya sugu enzi hizo? Huwezi kushangaa kwani hata watoto wasiomfahamu zidane wataanza kumlinganisha na cristiano.
Hao ndio wakali Don Town ukweli wote wanaujuwa, hata kipindi kile kwenda Mantoni ilikuwa ni maujiko uliza ni msanii gani mwenye wa kwanza kula pipa kwenda viwanja?
Heri mimi sijasema..... maana umethibitisha mwenyewe unavyoongozwa na emotions!!...wabongo wakimpenda mtu hata mambo yaliyo wazi hawataki kukubari ili mradi basi tu emotions zina tu drive zaidi ya reality
Heri mimi sijasema..... maana umethibitisha mwenyewe unavyoongozwa na emotions!!...
Sugu hana chochote cha kumlinganisha na mwana FA,kuuliza swali bungeni mpaka aandikiwe kwenye karatasi na kina mnyika ndo anajibu, hana lolote sema watanzania wamechoka wanachagua tu ili mradi awe mpinzani,mwana FA huwez kumlinganisha na huyu mshamba
ni dhambi kumfananisha baba na mtoto jamani hata kama mtoto anaakili kuliko baba.Nilitegemea mwanafa apambanishwe na watu kama JMO,FID Q,n.k
Watu wengine bwana,sijui inakuaje wako humu.nimaneno ya kuongea mtu mzima.eti njiti,unajua maana yake lakin?Sugu ni Mbunge anayepata Mshahara wa shilling million 7 kwa mwezi plus marupurupu kibao, wewe ndio unataka kumlinganisha na huyu Njiti MwanaFa!!??
unachokita nilikijua mdaa haya unayetaka ashnde ndio tembo maana kwa anayeeleta ashajua matokeo unataka yaweje !jbu direct..
ukisema hvo sikuelew coz hata DAUD alimuangusha GOLIATI..
na hata CHELSEA alimfunga BARCA..
FA alishasema wananidiss ila mioyo yao inajua, FA kimuziki yuko juu sana zaid ya sugu.. FA kakuza kiswahili kwa kiasi fulani maneno kibao yanatumika leo mlianza kuyasikia kwa mistari yake. Okoa nguvu na muda muite B.
jaman nisaidieni,kwa kulinganisha nyimbo zao nan mkali..