Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Je huu ndio muendelezo wa bifu zao ama(Sugu na Ruge-Clouds Media group)??Utatoaje tuzo za heshima kwa waasisi au waimbaji wa mwanzo Bongoflava ukamwacha Sugu aka Mr 2?? Hiki ni kichekesho kwa Waandaaji wa Fiesta CloudsFm(Media).
Baadhi waliopata ni hawa:
Juma Nature
Fid Q
Bushoke
Prof Jay
Jay Dii
Unique Sisters
Mr Nice
Mabaga Fresh
Mandojo na Domokaya....n.k Sugu hayupo kundini. Hii imekaaje?? Wako seriaz kweli hawa??
Baadhi waliopata ni hawa:
Juma Nature
Fid Q
Bushoke
Prof Jay
Jay Dii
Unique Sisters
Mr Nice
Mabaga Fresh
Mandojo na Domokaya....n.k Sugu hayupo kundini. Hii imekaaje?? Wako seriaz kweli hawa??