Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Je huu ndio muendelezo wa bifu zao ama(Sugu na Ruge-Clouds Media group)??Utatoaje tuzo za heshima kwa waasisi au waimbaji wa mwanzo Bongoflava ukamwacha Sugu aka Mr 2?? Hiki ni kichekesho kwa Waandaaji wa Fiesta CloudsFm(Media).

Baadhi waliopata ni hawa:

Juma Nature

Fid Q

Bushoke

Prof Jay

Jay Dii

Unique Sisters

Mr Nice

Mabaga Fresh

Mandojo na Domokaya....n.k Sugu hayupo kundini. Hii imekaaje?? Wako seriaz kweli hawa??
nadhani alitegemea na saleh jabry angetajwa kama muasisi wa bongo f.unapobisha kitu ni vizuri ukasema jina la unaemuona wewe ndio muasisi wa Bongo fleva, kuliko kuleta haya maongezi ya jikoni au salon!!! otherwise wewe ndio K- mbuzi.
Wahanga wa Sugu hawa utawajuwa tu, huyu kama sio Jafarai basi naye atakuwa ni muathirika wa punchline za Sugu.sikujua kuwa sugu nae eti ana majeshi ya kumpigania kiasi hiki. mie alinitoka wakati alipojitia kujitoa kuimba muziki bongo na kuupondaponda kisha akaenda huko ughaibuni, alipogundua hakuna dili huko nyumbani ni nyumbani akarudi na kuurudia muzika, wadau wakamtema akabaki anashangaa shangaa na lawama kibaaoooo!

kukosa tuzo ya clouds hakupunguz kitu,what z clouds bhanaaaa

kwani sugu ndo mwanzilishi wa harakati za muziki huo,au naye anajitafutia umarufu mbuzi!!!
sikujua kuwa sugu nae eti ana majeshi ya kumpigania kiasi hiki. mie alinitoka wakati alipojitia kujitoa kuimba muziki bongo na kuupondaponda kisha akaenda huko ughaibuni, alipogundua hakuna dili huko nyumbani ni nyumbani akarudi na kuurudia muzika, wadau wakamtema akabaki anashangaa shangaa na lawama kibaaoooo!
Alienda kutafuta maisha sugu ni mpiganaji mahiri sana, toka mzee wake RIP miaka ya early 90s huyu jamaa kaibeba familia yake kinoma, kwa hili mpeni big-up, mimi ninalifahamu kiuhakika.
Muziki wa kibongo
Mr. Proud (Mr. 2 Sugu),
Afande Sele,
Prof. Jay
Nakumbuka kama ndo wa kwanza kwanza, but clouds ni wabinafsi.
mimi dudubaya, ngumi mkononiWahanga wa Sugu hawa utawajuwa tu, huyu kama sio Jafarai basi naye atakuwa ni muathirika wa punchline za Sugu.
ndio uanaume huo kutafuta maisha ni sehemu ya maishaAlienda kutafuta maisha sugu ni mpiganaji mahiri sana, toka mzee wake RIP miaka ya early 90s huyu jamaa kaibeba familia yake kinoma, kwa hili mpeni big-up, mimi ninalifahamu kiuhakika.
Bob hakuanzisha Regge lakini yeye ndio anaitwa muasisi wa Regge, je unajuwa kwa nini? ukipata jibu la swali hili basi moja kwa moja utakubali kwamba Sugu anastahili kuitwa muasisi wa Bongo Fleva, ukweli huu huwezi kuupinga Duniani wala mbinguni.kwanza Unit ! ( KU)
Ndio waasisi wa mziki wa kibongo