Sugu Vs. Tuzo za Heshima-Fiesta!!Kulikoni??

Hili bifu halielekei kuzuri...i smell a rat over this thing...!
 
sikujua kuwa sugu nae eti ana majeshi ya kumpigania kiasi hiki. mie alinitoka wakati alipojitia kujitoa kuimba muziki bongo na kuupondaponda kisha akaenda huko ughaibuni, alipogundua hakuna dili huko nyumbani ni nyumbani akarudi na kuurudia muzika, wadau wakamtema akabaki anashangaa shangaa na lawama kibaaoooo!
 
Habari yako shost ebu tutajie uyo muasisi unaemfahamu wewe tofaut na sugu.
 
<br />
<br />
kukosa tuzo ya clouds hakupunguz kitu,what z clouds bhanaaaa
 
unapobisha kitu ni vizuri ukasema jina la unaemuona wewe ndio muasisi wa Bongo fleva, kuliko kuleta haya maongezi ya jikoni au salon!!! otherwise wewe ndio K- mbuzi.
nadhani alitegemea na saleh jabry angetajwa kama muasisi wa bongo f.
 
Wahanga wa Sugu hawa utawajuwa tu, huyu kama sio Jafarai basi naye atakuwa ni muathirika wa punchline za Sugu.
 
kwani sugu ndo mwanzilishi wa harakati za muziki huo,au naye anajitafutia umarufu mbuzi!!!
<br />
<br />
Wewe utakuwa wa miaka ya 90 kama sikosei,maana hujui lolote kuhusu muziki wetu.
 
Muziki wa kibongo
Mr. Proud (Mr. 2 Sugu),
Afande Sele,
Prof. Jay

Nakumbuka kama ndo wa kwanza kwanza, but clouds ni wabinafsi.
 

Alienda kutafuta maisha sugu ni mpiganaji mahiri sana, toka mzee wake RIP miaka ya early 90s huyu jamaa kaibeba familia yake kinoma, kwa hili mpeni big-up, mimi ninalifahamu kiuhakika.
 
Alienda kutafuta maisha sugu ni mpiganaji mahiri sana, toka mzee wake RIP miaka ya early 90s huyu jamaa kaibeba familia yake kinoma, kwa hili mpeni big-up, mimi ninalifahamu kiuhakika.

Umemuelezea Sugu kama alivyo......nakumbuka alikuwa ana-fight sana kwa ajili ya familia yake....mother na wadogo zake na alikuwa na idea pana sana ya maisha ya utafutaji hasa nje ya muziki.
 
jmo is realy good sema hana nyota ya kutoka!but he knows raping!
 
Katika historia ya hip hop bongo huwezi kumsahau sugu acheni unafiki ambao hauna tija
 
kwanza Unit ! ( KU)

Ndio waasisi wa mziki wa kibongo
Bob hakuanzisha Regge lakini yeye ndio anaitwa muasisi wa Regge, je unajuwa kwa nini? ukipata jibu la swali hili basi moja kwa moja utakubali kwamba Sugu anastahili kuitwa muasisi wa Bongo Fleva, ukweli huu huwezi kuupinga Duniani wala mbinguni.
Najuwa sana kina Kibacha walianza hii Game kitambo akiwa na Drob lakini hawakuweza kuupeleka huu mziki juu ya mstari, aliekomaa na huu mziki ni Sugu na ndio Rapa wa kwanza kutoka Bongo kufanya show Mamtoni.
 
pamoja saigoni!alikuwepo pia saleh ja b(mnamkumbuka hy)..hoja hp ni tuzo za heshima waliowahi kupanda jukwaa la fiesta..sugu kawahi kupanda jukwaa la fiesta?..sawa na hao walipewa?...katika cha miaka 10 toka ianze fiesta ?...swali..1.je wasanii walipewa tuzo wanastahiki kuwa hivyo(kimaendeleo?)...kwahiyo miaka kumi walau thaman ya pesa walizowaingizia (waandaaji?)..pia hkn ht mtayarishaji wa huo muziki kupewa tuzo?...duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…