Sugu: Wimbo utakaouzidi ‘Freedom’ utapata zawadi ya shilingi milioni 5

Hamasa huwa si kwa ajili ya "Maveteran" huwa si kwa ajili ya "Seniors" katika game ila ni kwa ajili ya "Juniors".....Messi,Ronaldo na Suarez kama "Seniors" hawahitaji sana hamasa kutoka kwa "Veterans" ila ushauri tu
Sugu ni "Veterans" anatoa hamasa kwa "Juniors"
Hiyo hamasa anayoitafuta kwa kuwaliza hao majuniors kama kina Blue, sio hamasa.
 
Blue sio Junior,Blue ni Senior...ana miaka zaidi ya 15 kwenye Game
Wewe u mgeni wa hip hop....Hip hop Got nothing but love
 
Na wewe toa hiyo ya kawaida sana

Kaka argue kwa point na sio kuongea ili watu wakuone umecomment.Compare nyimbo ya freedom na Tumekaa muda mrefu, mikononi mwa polisi, ana miaka chini ya 18, Dar es salaam.

Utaweza kucompare na freedom?
 
Blue sio Junior,Blue ni Senior...ana miaka zaidi ya 15 kwenye Game
Wewe u mgeni wa hip hop....Hip hop Got nothing but love
Ok, basi anawaliza seniors wenzake.
 
wimbo wa kawaida sana. ila byser angetia vocal zake ungependeza sana. Sugu ameimba bila pozi yan pumzi hamna kabisa. ilitakiwa awepo mtu wa kuufanya wimbo uwe na ladha.
 
tatizo hamjui hip pop halafu mnabishana tu..

sugu anashindanisha watu kuimba wimbo bora wa freedom.. sio wimbo mwingine..

watakachofanya ni kupeleka beat na chorous ya freedom..

then kila msanii atatengeneza nyimbo yake kwenye hiyo beat with a chorous...

Na pia mkumbuke sugu hajafanya wimbo kama serious mwanamuziki anaetegemea wimbo umpe chakula au kumlipia kodi...

yeye amefanya just for love.. ni kama bonanza vile umwalike luis figo au ronaldo mkubwa
[emoji23][emoji23]
duh ndugu unaijua real hiphop ndani misingi(underground).?
 
Hata yeye kasema haimbi kwa ushindani,anaimba tu ili "kupush" Game ya Muziki wa Hip hop na Bongo Flavour
Anajuwa yeye ni mkongwe,na hata jana kasema "He Got Nothing,But Love"....hafanyi ushindani ila hisani

Ni kama yale mashindano ya bonanza wanayocheza kina Thiery Henry na Louis Figo,hawachezi kiushindani na wala wawapo uwanjani hawafanyi yale aliyokuwa anafanya Henry pale Highbury wala Figo pale Santiago...Wanachokifanya ni hamasa tu...Lkn kutokufanya kwao manjonjo haimaanishi hawakuwahi kuwa bora katika kiwango cha dunia

Msiwe na wivu,that is hip hop life homie
Ana push mziki wapi nyimbo yenyewe mbaya kwa kifupi hajui kuimba istyle yake ni ya kizamani...enzi zile alikua anakimbiza.....
 
Ni kweli,kwa sasa zama zake zimepita...na hata yeye alisema amekwisha,ila anaimba just for funny

Ndio maana ya 'Veteran",mtu kuitwa "Veteran" au "Legendary" maana yake zama zake zimepita,kupita kwa zama hakumuondolei mtu ubora aliokuwa nao wakati ule...Ndio alivyo "Veteran" Pele na Maradona katika ulimwengu wa kandanda,Au Mohamed Ally na Tyson katika masumbwi.

Nashukuru umekiri kuwa alikimbiza "enzi zake",na kwa kweli hizi sio enzi zake tena...Ndio maana anaimba tu kwa "afya" na si ushindani.

Hata Ronaldo de Lima na Louis Figo leo wakirudi uwanjani hawawezi kufanya yale waliyokuwa wanayafanya,mechi zao za Bonanza wanaishia kucheza dakika 30 wanatota hoi!!Lakini hii haiwaondolei ubora wao waliokuwa nao pale Barnabeu na Nou Camp

Punguzeni punguzeni jamani....
 
Sasa huko kuimba tu for fun kunaweza mshushia heshima matokeo yake ni kama hivyo wimbo ni wa Mr Blue yeye kafanya figisu na akina Maser Jay
 
Watu bhana!

Eti Sugu kaiba wimbo!

Kwa mwezi anapokea mshahara wa 3+M kama mbunge, achilia mbali vyanzo vingine.

Watanzania bhana.
 
Sasa huko kuimba tu for fun kunaweza mshushia heshima matokeo yake ni kama hivyo wimbo ni wa Mr Blue yeye kafanya figisu na akina Maser Jay
Ungejuwa kwanini P Funk alikataza nyimbo zote za Ngwair zilizorekodiwa Bongo Records zisipigwe Clouds Fm,ndio ungejuwa kawanini wimbo ni wa kina Master J na si Blue....Haters huwa wanakufa ahingo upande kama filauni
 
Atupishe huko!! Hata akichana verse havutii na hilo likitambi lake kama mnywa kimpumu....mfyuuuuuuu!!! Wimbo wenyewe wa wizi na tumeusikia long time!
 
Hata yeye kasema haimbi kwa ushindani,anaimba tu ili "kupush" Game ya Muziki wa Hip hop na Bongo Flavour
Anajuwa yeye ni mkongwe,na hata jana kasema "He Got Nothing,But Love"....hafanyi ushindani ila hisani

Ni kama yale mashindano ya bonanza wanayocheza kina Thiery Henry na Louis Figo,hawachezi kiushindani na wala wawapo uwanjani hawafanyi yale aliyokuwa anafanya Henry pale Highbury wala Figo pale Santiago...Wanachokifanya ni hamasa tu...Lkn kutokufanya kwao manjonjo haimaanishi hawakuwahi kuwa bora katika kiwango cha dunia

Msiwe na wivu,that is hip hop life homie

kwa hiyo aliiba wimbo kuhamasisha wizi?
 
Jamaa ka muonea dogo blue, cja penda kabsaaa

Aibu kwa mzee kama sugu na lile kitambi kufanya alichofanya kwa bluu.. wakati sugu anaimba miaka ya 90 Bluu sijui kama alikua keshazaliwa yaani Blue kwa sugu ni kama mtoto wa kumzaa kabisa...kama ameammua kufanya usela angewafanyia kina ruge sio blue...
 
Kumbe wivu wako ni kile kitambi...mwanaume lijali unakosa maumbile ya mwanaume,unataka akufanye nini?mwanamke ndio hutazama maumbile ili avutike

Wewe kinachokusumbua ni husuda na gubu tu,hubadilishi chochote zaidi ya kufa kwa ukurutu wa chuki
 
Ni msanii anayechipukia kwa kasi.....ila yeye anachanganya music genre zote, bolingo, hiphop, charanga, rege, bongoflavor...you name it.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
FYATU bwana!
 
Back
Top Bottom