akhaaaShuleni kwetu kuna mwanafunzi alimaliza darasa la saba hajui kusoma,ilikua 1994 lakini hakufaulu
shuleni kwetu kuna jamaa alikuwa amekomaa balaa yaani anapasua nazi kwa ugoko.
I remember those day when my head teacher called me "MTUKUTU" na nilikuwa mtukutu kweli.