Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Wabongozozo wanahangaika na sukari madukani [emoji1]

Ova
 
Thubutuuu.
una elimu gan ? unahisi walibyia walikuwa wakorofi ? au unaamin wapiganaj walitoka nje ya libyia ? bali walibyia waliochoka siasa za kihuni za Ghadaf , Ccmi inafuata
 
Achana na kila siku utapata hasara, wewe nenda kila baada ya saa 1. Unakaa nje unapata bia moja unaingia tena.
inakua kama kenya wakiwa na tatizo kubwa sana la unga supermarket zao mwisho kuuza kilo 4 za unga kwa mtu 1🤣
 
una elimu gan ? unahisi walibyia walikuwa wakorofi ? au unaamin wapiganaj walitoka nje ya libyia ? bali walibyia waliochoka siasa za kihuni za Ghadaf , Ccmi inafuata
Mkuu,yawezekana wewe ni mgeni hapa Tz.JPM alifanya kila alilolitaka,alifanywa nini?
Uchaguzi wa kimagumashi unafanyikaga,umewahikuona reaction yoyote kali ya WaTz?
Suala la katiba,umeona linavyofanywa kidanadana?
Jua jamii yako.
 
Leo sukari nimezunguka kila duka naambiwa sukari hamna, kulikoni?

Waziri wa mashamba mbona kama amelala usingiz wa pono?

Mambo yamekuwa magumu hivi kweli tutafika February 15 kwa hali hii na huenda hata hiyo tarehe aliyosema waziri wa mashamba ikawa kiini macho?
 
sukari inauzwa kwa connection 🤣🤣🤣kaa na watu vizuri wakwambie inavyo patikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…