Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Hao ndio wazamiaji (kutoka nchi jirani) walioko serikalini kulingana na taarifa ya CDF hawana uchungu na ninyi watanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua kabisa nchi haina Raisi ndio maana wanaficha sukari ila angekuwepo wasingefanya hivyo.Leo sukari nimezunguka kila duka naambiwa sukari hamna, kulikoni?
Waziri wa mashamba mbona kama amelala usingiz wa pono?
Mambo yamekuwa magumu hivi kweli tutafika February 15 kwa hali hii na huenda hata hiyo tarehe aliyosema waziri wa mashamba ikawa kiini macho?
kunywa soda au nunua asali ndugu..Leo sukari nimezunguka kila duka naambiwa sukari hamna, kulikoni?
Waziri wa mashamba mbona kama amelala usingiz wa pono?
Mambo yamekuwa magumu hivi kweli tutafika February 15 kwa hali hii na huenda hata hiyo tarehe aliyosema waziri wa mashamba ikawa kiini macho?
bei gani kilo moja?Tegeta kwa ndevu iko kibao
Bei elekezi + 300bei gani kilo moja?
Waziri wa Fedha na wa viwanda ni ma dokta, wanashindwa kutengeneza mfumo wa tehama wenye kujua sukari iliyo zalishwa , iliyo uzwa na iliyo Baki .au mpaka Raisi awaaambie au BasheLeo sukari nimezunguka kila duka naambiwa sukari hamna, kulikoni?
Waziri wa mashamba mbona kama amelala usingiz wa pono?
Mambo yamekuwa magumu hivi kweli tutafika February 15 kwa hali hii na huenda hata hiyo tarehe aliyosema waziri wa mashamba ikawa kiini macho?
Kweli ukiwa na connection unauziwa tena kwa bei elekezi ya tsh 2650/- tu.sukari inauzwa kwa connection 🤣🤣🤣kaa na watu vizuri wakwambie inavyo patikana
Sukari wala siyo kitu cha kulalamikia. Hata watanzania wakiamua kuitumia hadi milele haina shida. Kwanza ukiacha kutumia sukari faida za kiafya ni nyingi.Leo sukari nimezunguka kila duka naambiwa sukari hamna, kulikoni?
Waziri wa mashamba mbona kama amelala usingiz wa pono?
Mambo yamekuwa magumu hivi kweli tutafika February 15 kwa hali hii na huenda hata hiyo tarehe aliyosema waziri wa mashamba ikawa kiini macho?
acha uongo wewe sasa hivi sukari inacheza kati ya 4000 au 5000/Bei elekezi + 300
Nimekueleza nenda Tegeta kwa ndevu wewe inaleta Ligi🐼acha uongo wewe sasa hivi sukari inacheza kati ya 4000 au 5000/
View: https://m.youtube.com/watch?v=6G387jF-BG4
Wakati wewe unalalamika raisi yupo Zanzibar anakata keki. Halafu mwisho anamwambia makamu wa raisi wao awali hiyo keki aliyopewa hajui ilipotoka.
Akija na bara atakutana na keki zingine elfu zinamsuburi, sukari ya kutengenezea mafisadi watapata tu.

Hatari sana