OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nchi haina Rais, nani wa kushusha hiyo sukari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukari inazalishwa hapa ila bei yake ni nomaNani sasa wakufwatilia hayo wakati wao wenyewe ndio msingi wa hizo bei na mfumuko wa bei.
Ni kweli kabisa mkuuKuna vitu vinachekesha sana hivi kuna mtu wa kupiga kelele sukari ishuke atoke wapi huyo mtu watu wako busy na mambo yao wananchi tupambane na hali zetu.Ww angalia upuuzi swala la umeme, nauli kupanda sisi ni ma black mamba tupo tupo tu ka maroboti
Ramadan siyo ticket ya kupanda kwa bei ya sukari.haijaliahi ramadhan inaingia au vp ila hyo bei n kubwa sana ishuke
kbsaaRamadan siyo ticket ya kupanda kwa bei ya sukari.
Juice unawekaje sukari, si inatakiwa kuwa na sukari yake!!? Watu hawajaanza leo kutengenea mikate na maandazi. Tokea enzi za Yesu, walikuwa wanaweka sukari gani?
Wabongo ni watumwaJuice unawekaje sukari, si inatakiwa kuwa na sukari yake!!? Watu hawajaanza leo kutengenea mikate na maandazi. Tokea enzi za Yesu, walikuwa wanaweka sukari gani?
Sukari ni bidhaa muhimu mkuuWabongo ni watumwa
Ndomana wanapelekeshwa
Kama ngombe
Kwani lazima waitumie sukari
Si unaachana nayo kwa nuda
Wenyewe wazalishaji wauzaji
Watashusha bei
Lakini mijitu ilivyo na addiction
Mitumwa kutwa ohh suksri sukari
Kulalamika tu...
Ova
Duuuh karibuni kwenye matumizi ya sukari mbadala (Asali)5000/- Homboza