dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
ipi ?Asali
Chupa ya 1lt si 10,000 πDuuuh karibuni kwenye matumizi ya sukari mbadala (Asali)
Ya nyuki. Utachagua wakubwa au wadogo.ipi ?
ko mkuu ukajua ni nyuchu siyoπipi ?
awe spesifik kukwepa mkanganyikoko mkuu ukajua ni nyuchu siyoπ
sawa sawa, mie napenda ya wakubwaYa nyuki. Utachagua wakubwa au wadogo.
Olivia hajambo ?5000/ dar es salaam
Elfu 25 tajiriππChupa ya 1lt si 10,000 π
π€£ππππOlivia hajambo ?
Ni nzuri sana. Hata mimi natumia hiyosawa sawa, mie napenda ya wakubwa
DuuuuhOlivia hajambo ?
Duh ni ile nzitoo au nyepesiElfu 25 tajiriππ
kumbe hutaki ndoa sababu unaishi porini! Sogea mjini mkuu huko mbona porini sasa unatofauti gani na sokwe wa gombe?π€£π€£π€£5000/- Homboza
35003600, Arusha.