Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Njooni niwauzie nauza Afu 3500 tuu..bei ya kizawa...
 
Mi hapa gheto huwa nanunua nusu elfu mbili
 
Namjua mganga mmoja Ngarenaro. Just ni contact kwa huduma ya uhakika.
Nipo hapa Matejoo unaonaje ukinipeleka kabisa? Nipo maeneo ya shauri moyo.
 
Hapo inategemea na matumizi yako na ukubwa wa familia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚imagine utumie asali kulambia lolo uweke kwenye chai sijui uji loooh lita 1 wiki 1
 
Mi labda mniambie faida ya sukari hii mwilini maana robo namaliza nayo zaidi ya mwezi hta 2 km sipo na wife hii niliyonayo nilinunua robo 900
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚imagine utumie asali kulambia lolo uweke kwenye chai sijui uji loooh lita 1 wiki 1
Sasa hivi tulambe lolo kwa kutumia yogurt,πŸ˜‚
 
Nipo hapa Matejoo unaonaje ukinipeleka kabisa? Nipo maeneo ya shauri moyo.
Kumbe naweza kukuelekeza.Vuka upande wa pili Oysterbay pembeni ya mto ulizia kwa mganga Kanata.
Usipopapata nielekeze nije kukuchukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…