Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Njooni niwauzie nauza Afu 3500 tuu..bei ya kizawa...
 
Mi hapa gheto huwa nanunua nusu elfu mbili
 
Mi labda mniambie faida ya sukari hii mwilini maana robo namaliza nayo zaidi ya mwezi hta 2 km sipo na wife hii niliyonayo nilinunua robo 900
 
Nipo hapa Matejoo unaonaje ukinipeleka kabisa? Nipo maeneo ya shauri moyo.
Kumbe naweza kukuelekeza.Vuka upande wa pili Oysterbay pembeni ya mto ulizia kwa mganga Kanata.
Usipopapata nielekeze nije kukuchukua.
 
Back
Top Bottom