Sukari imeshindikana nchi hii. Ni pasua kichwa

Sukari imeshindikana nchi hii. Ni pasua kichwa

Mbona Zanzibar sukari ipo tele na bei yake haizidi 2500 kwa kilo moja na bado haina wateja.
Huko bara mna shida gani? Huu muungano una faida gani kwenu?
 
Jiwe ndo alikuwa naweza haya mambo.hawa akina mama wizara ya biashara na kilimo ni vialza tu
 
Leo nimenunua Sukari kilo afu tano. Leo Tarehe 14.2.2024

Na hapa Niko mjini Dar. Sipati picha huko kwingine.

Huko kwenu inaendaje?

Inategemea na mahali upo...

Kuna wengine wanauza 5500, 5000 lakini unapaylta hadi 3600 kwa kilo...
 
Mbona Zanzibar sukari ipo tele na bei yake haizidi 2500 kwa kilo moja na bado haina wateja.
Huko bara mna shida gani?
Huu muungano una faida gani kwenu?
Cha ajabu ni sisi tanganyika kama tunaulazimisha vile huu muungano, mie naona hakuna faida yoyote ya maana.
 
Naawambiaga mara nyingi humu.

Dawa ni kupunguza matumizi ya sukari.

Acheni kuwa watumwa,mtaishia kulalamika tu

Ova
Hata mimi huwa nawaambia kuwa wapunguze hata matumizi ya umeme Ili kuepuka huu mgao maana huu mgao ni kutusababishia hasara tu kila siku
Huo ni ushauri wa mpumbavu mmoja aliyeko mitaa ya Lumumba
 
Back
Top Bottom