Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Mama yetu mtaani hali ni mbaya, sukari haieleweki bei yake, sukari imekuwa adimu mtaani na ukiipata bei ni hatari.
Kwa mara ya kwanza Tanzania nanunua sukari elfu 5,500/- Mbeya. Swali langu nauliza, mama Sukari umeipeleka wapi? Maana tuliambiwa serikali imeagiza tani milioni kadhaa za sukari na sasa tangu kauli hiyo mwezi umepita!
Je, Waziri aliwadanganya Watanzania? Kinachoniudhi mama hajui shida ya sukari kila siku ni kubadilisha nchi Ulaya na uarabuni!
By MwanaCCM mpenda Chama na sio mfia Chama!