bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,440
Nimeshtushwa na uelewa wa wengi hapa ktk JF kuhusu upandaji wa bei, na hapa ndio huyu rais alipotushika pabaya.
Mfumuko wa bei unasababishwa na serikali kupitia benki kuu yake, ni ngumu kuelewa lakini iko ivi, serikali inapoishiwa pesa hakuna limit yoyote kuchapisha, wao badala ya kutafuta vyanzo vya mapato serikali ya JK inaenda kuchapisha pesa, matokeo yake pesa zinakua nyingi kwenye mzunguko na ndio kununua bidhaa kidogo unaitaji pesa nyingi.
Kwani wanavyoenda kuchapisha pesa serikali inatangaza, wanachapisha tu na kuzitumia, kama zimbabwe serikali haina vyanzo vya mapato so wanachapisha tu pesa, ndio unaenda kununua mkate na burungutu la mamilioni!
Wa kulaumiwa ni serikali na watanzania hatujui hakuna rais anayetuumiza kama uyu kwani ni ktk maeneo muhimu ila anachukulia uelewa wa watu "ana take advantage ya peoples ignorance" na wengi tunajua madhara ya uo mchezo!
Mkapa pamoja na wizi wake wote alikua makini na utafutaji vyanzo vya mapato kwa serikli yake ndio mana hakua anachapisha pesa ovyo kama uyu bwana kuchekacheka!