Nimesoma comments zote, nilichogundua ni kwamba Watanzania tuna matatizo makuvwa Sana, hususani kwenye suala zima la namma jinsi uwezo wetu wa kufikiri ulivyo na namma jinsi tunavyoendesha maisha yetu ya Kila siku kwa ujumla wake.
We are completely not serious about our safety, especially in case of food security.
Food Security and Quality Control ni suala nyeti Sana Tena ni la MUHIMU SANA KUZINGATIWA wakati wote. Lakini ukisoma maomi ya watu wengi hapa utagundua kwamba Watanzania wengi wala hawako serious, wanachukulia mambo poa kabisa.
Kutokana na mentality za hovyo kama hizi walizonazo Watanzania wengi, KGB ya Urusi (USSR) ilifanikiwa pakubwa Sana ktk 'kuwapukutisha na kuwaangamiza Warusi' wengi sana kwenye majimbo fulani fulani ambayo KGB iliona kwamba watu wa huko walikuwa 'kirusi' au kikwaxo cha kuenea kwa itikadi ya Ukomunisti. Aidha, hata Wahindi-Wekundu wenyeji wa asili wa nchi ya Marekani waliangamizwa kabisa kimya kimya, taratibu na uzao wao wote kutoweka kabisa ktk uso wa dunia kwa kupitia ktk njia hii ya food production and supply chain.
Watanzania tubadilike!
Siyo kila homa ni malaria!