DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaani hata Mimi nimeshangaa Sana, issue sensitive kama hii alaf watu wanajibu kwa dhihaka, kwa akili za namna hii ndio maana serikali inafanya inavyotaka na hakuna hatua zozote zitachukuliwa

Hii mada ingekuwa ya namna ya kumfikisha mwanamke kileleni au namna ya kuunganisha mabao bila kupumzika ungeona namna watu wanavyotiririka humu

So sad 😢
 
Twendeni na Maza 2025
 
Mara nyingi hizo ni zile ambazo zimeisha expire sio kwenye sukari tu Kuna bidhaa nyingi wafanyabiashara Huwa wanacheza Rafi mfano unga, maziwa nk ni Mungu tu anatulinda.
 
Mwamba utakuwa umepigwa na maisha ndiyo maana unaona wivu watu wakifanikiwa! Kwani umeona haikolezi chai? Watu mnasaidiwa maisha yawe rahisi nyie hamtaki! Kwani wanauza bei gani? Hiyo itakuwa imetoka nchi jirani wakafanya ku rebag!
 
Mwamba utakuwa umepigwa na maisha ndiyo maana unaona wivu watu wakifanikiwa! Kwani umeona haikolezi chai? Watu mnasaidiwa maisha yawe rahisi nyie hamtaki! Kwani wanauza bei gani? Hiyo itakuwa imetoka nchi jirani wakafanya ku rebag!
Akili finyu na bandia utajuaje kama wamerebag au ime expire. Urahisi halafu unajiua. Acha unguruwe kula Kila kitu.
 
Ma
Majitu akili mgando mkuu
 
Huyu atakua katoka daslm sisi tushazoe kutumia Sukari kutoka Malawi miaka nenda rudi wanatoa Malawi ikiwa kwenye viroba inakuja kufungwa kwenye mifuko ukiinunua kwa hiyo unataka Sukari ya Tukuyu itoke Morogoro muda mwingine utasikia sijui wameficha sukari hicho kitendo Tukuyu au Kyela hakuna braza ukifika sehemu nenda na beat ya muziki...
 
Kule ilikotoka inakuwa salama kwa matumizi yenu?? Kama sio walafi miguruwe
 
huku Bob G kule Bob Edgar wavusha sukari za magendo maarufu miaka hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…