KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,705
- 4,217
- Thread starter
- #21
Kama iko hvyo basi Bakhresa pale bagamoyo kitatengeneza hiyo sukari na walisema kitasupply E.Africa nzimaKajisomeeni kuhusu sugar beet (viazi maalumu kwa kutengeneza sukari) ambapo wazambia wao walishaingia kwenye teknolojia hiyo muda mrefu sana ndio sababu hauwezi kusikia kwao sukari imekua adimu