KENGE 01 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 1,705 Reaction score 4,217 Jul 27, 2023 Thread starter #21 Arovera said: Kajisomeeni kuhusu sugar beet (viazi maalumu kwa kutengeneza sukari) ambapo wazambia wao walishaingia kwenye teknolojia hiyo muda mrefu sana ndio sababu hauwezi kusikia kwao sukari imekua adimu Click to expand... Kama iko hvyo basi Bakhresa pale bagamoyo kitatengeneza hiyo sukari na walisema kitasupply E.Africa nzima
Arovera said: Kajisomeeni kuhusu sugar beet (viazi maalumu kwa kutengeneza sukari) ambapo wazambia wao walishaingia kwenye teknolojia hiyo muda mrefu sana ndio sababu hauwezi kusikia kwao sukari imekua adimu Click to expand... Kama iko hvyo basi Bakhresa pale bagamoyo kitatengeneza hiyo sukari na walisema kitasupply E.Africa nzima
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,594 Jul 28, 2023 #22 Kuna sukari ya bakhresa nimenunua juzi Iko vizuri kuliko iletuliyoizoea Kwa hiyo inatokana na sugar beets
Kuna sukari ya bakhresa nimenunua juzi Iko vizuri kuliko iletuliyoizoea Kwa hiyo inatokana na sugar beets
B Byakuzana Member Joined Mar 25, 2016 Posts 29 Reaction score 22 Jul 28, 2023 #23 Hii pia haimaanishi uwezo wao kununua hizi bidhaa ipo chini?
KENGE 01 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 1,705 Reaction score 4,217 Jul 28, 2023 Thread starter #24 Byakuzana said: Hii pia haimaanishi uwezo wao kununua hizi bidhaa ipo chini? Click to expand... Hata mimi sielewi..Unaambiwa ni nchi maskini lakini ukioneshwa mijengo wanayoshusha watu ni balaa
Byakuzana said: Hii pia haimaanishi uwezo wao kununua hizi bidhaa ipo chini? Click to expand... Hata mimi sielewi..Unaambiwa ni nchi maskini lakini ukioneshwa mijengo wanayoshusha watu ni balaa
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 1,899 Reaction score 4,055 Jul 29, 2023 #25 Kwamba huko asali ni bei rahisi kuliko sukari mpkaka wanaamua kutumia asali kama mbadala wa sukari?