Sukari tanga Tsh. 6,000 kwa kilo moja! CCM take note of that!

Sukari tanga Tsh. 6,000 kwa kilo moja! CCM take note of that!

Alikuwa kwenye bethidei huo muda wa kufuatilia sukari anao kwani. Ila mimi hapa Dar nimenunua kilo kwa 4,600 leo.

Umeme na sukari sio masuala ya kuiumiza serikali ya kijani. Mambo ya ziara, hafla, uchawa, shamrashamra na mikutano ndio vipaumbele. Kadri V8 zinavyopishana barabarani uku na kule, ndivyo kijani wanavyodhani wanafanya kazi.
 
Kuna jimeli limetia nanga bandarini lashusha mzigo wa sukari waja mkae kwa kutulia!
 
Back
Top Bottom