Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
- #21
amejipiga deki,lipstic kimtindo, wanja manga unahusika,nywele katia dawa,macheni,mapete,mahereni, ka demu eti kidigitali wanaita swaga suruali mlegezo ama kweli diamond wa sasa sio yule wa zamani
hii ni tetesi kanywa dawa kutengeneza miramba sita
chezea pesa wewe......,
kila wema + wengineo unadhani wangefall in love na Naseeb wa enzi nzile....