Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
-
- #21
amejipiga deki,lipstic kimtindo, wanja manga unahusika,nywele katia dawa,macheni,mapete,mahereni, ka demu eti kidigitali wanaita swaga suruali mlegezo ama kweli diamond wa sasa sio yule wa zamani
hii ni tetesi kanywa dawa kutengeneza miramba sita
Kaka unauliza makofi polisi?
Usisahau hujafa hujaumbika wahenga wakisema
eti ''mi nampenda naseeb kam naseeb tu........ila ni shabiki wa diamond''!wema bana!hivi kweli angempenda naseeb wa kwenye picha ya kwanza yule binti kweli!!!????
Yahpesa kazi yake matumizi........,
we let him do the spending........