Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ni gossip za hapa na pale wakati tukiendelea na majonzi ya msanii mangwair..,
duh kuna watu ni wapekuzi
duh kuna watu ni wapekuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
this is beyonds gossip duh bongo kazi kweli kweli.
Hiyo yote sababu ya Clouds, Ruge, na Kusaga.
Ebu tujuze basi,maana hiyo picha kama naielewa af siielewi vile,ebu tiririka mrembo
Wanajibbm na kujiwatsup as if they aint in a funeral...so sorrowful
Ruge, na Kusaga wamemsababishia Diamoond asifunge vishikizo.......
clouda wanalo mwaka huu
Ushapata hedhi yako mwezi huu? Kama bado jua ni Clouds hao...Ruge na Kusaga.
too bad niko menopause stage!!!!!!
Alaaaa! Clouds, Ruge, na Kusaga ndo wamesababisha hiyo hali:heh:
I wish i could understand....
too bad Clouds, Ruge, na Kusaga ndo wamesababisha hiyo hali ya kutokukuelewa
Bwa chuchu nimekupenda bureeee,eti amepata hedhi yake mwezi huu??,aaah aaah dah u made my made bro