Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijaona shida yoyote, ukiwa kwenye msiba ndo simu isiguswe? au usipendeze? jamani huyu ni public figure asipovaa vizuri tutamponda
Ni gossip za hapa na pale wakati tukiendelea na majonzi ya msanii mangwair..,
![]()
![]()
duh kuna watu ni wapekuzi
afu mwambie Domond avae 'car wash' kwa ndani
yeye ni rais wa wasafi na kupendeza ni moja ya character zake
wala hatuna shida na kunyuka pamba kwake!!!!!!!
unahitaj jicho la 3 kujua tunachoongelea hum ndani
nimetumia hilo jicho la tatu kutokana n picha na comments za watu labda unidadafulie picha zenu zimelenga kitu gani hasa
Kweli hedhi yako imechelewa mwezi huuzimelenga kote ulikoongeleaa na kwingineko ambako hujagusia....
Kweli hedhi yako imechelewa mwezi huu
Tatizo ni hao aliokaa nao hawana hadhi na yeye au???