Sukari ya warembo hapo vipi!!!!!!!!

sijaona shida yoyote, ukiwa kwenye msiba ndo simu isiguswe? au usipendeze? jamani huyu ni public figure asipovaa vizuri tutamponda
 
sijaona shida yoyote, ukiwa kwenye msiba ndo simu isiguswe? au usipendeze? jamani huyu ni public figure asipovaa vizuri tutamponda

yeye ni rais wa wasafi na kupendeza ni moja ya character zake
wala hatuna shida na kunyuka pamba kwake!!!!!!!

unahitaj jicho la 3 kujua tunachoongelea hum ndani
 
Aaaah aaah samahani lakini,mi napita tu heaven on earth,ila zingatia aliyoyasema bwa chuchu,ni hayo tuuuuui....nimemalizaaaa
 
yeye ni rais wa wasafi na kupendeza ni moja ya character zake
wala hatuna shida na kunyuka pamba kwake!!!!!!!

unahitaj jicho la 3 kujua tunachoongelea hum ndani

nimetumia hilo jicho la tatu kutokana n picha na comments za watu labda unidadafulie picha zenu zimelenga kitu gani hasa
 
Tatizo ni hao aliokaa nao hawana hadhi na yeye au???
 
Basi ingekuwa vizur kama ungetusaidia kwa wew uliyeona hlo jicho la tatu,maana woote tumeishia jicho la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…