Sukari....

Sukari....

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Ingekuwa kwenye UJI tungekunywa CHAI..
Ingekuwa kwenye CHAI tungekunywa UJI
Lakini...Ipo kwenye Sukari jamani... n a wote twapenda sukari...

Sukari hii ni ipi wakuu?:welcome:
 
Hilo fumbo nalo!!!
Nadhani waongelea pilipili sasa sio sukari tena, na imeingia kwenye sukari!
Hapo solution ni kuwa na maji pembeni, walamba kisha wapooza!!!lol
 
sukari tamu jamani hasa igusapo ulimu mwenyewe wasikia viungo vyote vyalegea kwa utamu haaahahahahah
 
imekuwa sio sukari tena imekuwa balaa mgeni huyu balaa
 
sukari ni njia aliyopitia mkeshahoi kuja duniani. glory to God!
 
Mmh!!mkesha hoi balaaa!leo sukari imegeuka kuwa njia badala ya kiungio!???
 
Huyo ni mgeni asiyetakiwa,halafu kajikaribisha mwenyewe chumbani na kutoka kakataa na wenye nyumba kumfukuza hawawezi.
 
Ingekuwa kwenye UJI tungekunywa CHAI..
Ingekuwa kwenye CHAI tungekunywa UJI
Lakini...Ipo kwenye Sukari jamani... n a wote twapenda sukari...

Sukari hii ni ipi wakuu?:welcome:

Sukari imeingia sumu dude kwa sox
 
Back
Top Bottom