Sukari💋💋

Huwa natamani tufahamiane nje ya hapa jf,, sijui kwa kuwa wewe ni mwanamke,, labda na avater inanivutia.
Ila naamini kuna siku tutaonana mkuu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Hahaha wachana na kutamani, wala hiyo avatar isikuyumbishe maana sura sio roho
 
Vijana wa kiume kwa wa kike tubuni na acheni uzinzi maana ufalme wa Mungu unakaribia!🗣️

Nimemuuliza mzee mwenzangu hapa baba D nini maana ya uzinzi kasema niwaambie vijana muoe, kama hujaoa sukari haikuhusu
 
WeekendVibes️😍😍 #fridaysaturdaysunday👌 #LoveHappyNatureTravelFun💓💃💥🥂

 
Love is a beautiful thing wallah😍😍

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…