Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sukuma Gang wako kichawi zaidi ni wa kupuuzwa tu.Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi
Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli
Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa
Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
Legacy inajifia natural death.kwa kifupi sukuma cartel hawaeleweki hawaitaki CCM ya SSH na hawaitaki kabisaa CHADEMA kisa Wana haribu regasi ya kayafa
LISSU; Rais sa100 ni kiongozi wa wananchi lazima tutamsema na kumkosoa.Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi
Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli
Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa
Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
Ngoja waje 🤣Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi
Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli
Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa
Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
Hawawezi kuja, uzi wanauchungulia 👀👀 na kutoka ndukiNgoja waje 🤣
Amepata supu.Chai wanakunywa wazee,wanafiki na watoto.Umekunywa chai??
Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi
Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli
Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa
Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
sukuma gang wapumbavu sanaHawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi
Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli
Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa
Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
Nimekuwa nakuambia mara Kwa mara, kundi Hilo ni la kufikirika halipo.Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi
Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli
Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa
Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
CCM ni ya wana CCM, wanaojua katiba na miiko ya chamaCcm sio chama cha shemeji yenu,ni chama cha kila raia mwenye kutaka.
Nyie wapakwa mafuta mnaosifia masaa 24 mnaona kama wanaokosoa wanafanya uhaini.
Kwa hiyo hawajalambishwa asali sio?Nimekuwa nakuambia mara Kwa mara, kundi Hilo ni la kufikirika halipo.
Kuhusu ukosoaji lazima ufanyike, Bunge ni la chama kimoja lakini wanaikosoa Serikali.
Ukosoaji wenye Nia ya kujenga ni muhimu Kwa Maendeleo ya Taifa.
Ndani ya chama CCM ukosoaji inaruhusiwa kikatiba ya chama.
LISSU; Rais ni kiongozi wa wananchi lazima akosolewe.
Akitaka asikosolewe aondoke kitini aone kama atasemwa.
Katiba inaruhusu ukosoaji, ila ukikosoa kosoa wazi, sio kujificha kwenye ID fake, huku unalaumu wapinzani kulamba asaliUngeweka kifungu Cha KATIBA ya CCM inayowaelekeza wabunge na Wanachama ndani ya CCM kuacha mara moja KUIKOSOA Serikali.
Leta Jukwaani HOJA zenye mashiko,
Acha ushabiki.
WAPINZANI na wabunge wa CCM wasiofurahishwa na mfumo wa wizi unaoendelea wanaungana na wananchi kuidai KATIBA mpya.Katiba inaruhusu ukosoaji, ila ukikosoa kosoa wazi, sio kujificha kwenye ID fake, huku unalaumu wapinzani kulamba asali
Hizo kauli za wapinzani kulambishwa asali ni za akina nani?WAPINZANI na wabunge wa CCM wasiofurahishwa na mfumo wa wizi unaoendelea wanaungana na wananchi kuidai KATIBA mpya.
Wananchi wanashindwa kupata japo Milo mitatu wewe unaongelea asali.
Tusubiri.
Ni kauli ya Mzee MAKAMBA.Hizo kauli za wapinzani kulambishwa asali ni za akina nani?