Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"

Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"

Safi kwa uamuzi wake

Mungu amjaalie urudi tena bungeni
 
Anasema ukweli mkubwa. Bunge kaputi, mahakama kidooooooooooooooooooooooooooooooooogo kwa mbali!
 
Mkuu chukua jimbo bhana mana kitaa co poa kabsa
Kila Mtanzania mwenye sifa ya kushiriki siasa, ana haki ya kujiunga au kutojiunga na chama chochote cha siasa. Mbunge Bwege anaendelea kuifaidi tu haki yake ya kujiunga na chama cha siasa. Tupo tunaofaidi haki yetu ya kutojiunga na chama chochote cha siasa. Hongera kwake!
 
Back
Top Bottom