Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

SULTAN MPYA WA OMAN AMEAPISHWA KWA JINA ANAITWA SULTAN HAYTHAM
Your browser is not able to display this video.

BIN TWARIQ.
Your browser is not able to display this video.
 
Tindikali, Oman raia wa kawaida wanavyofaidi huduma za kijamii usifananishe na hapa Tanzania ...sifahamu kuhusu siasa za ndani ila wametupita nchi nyingi za kiafrika kwa huduma za kijamii na kabla ya utawala wake Oman ilikua vumbi tupu ...na mwanzo wa utawala wake watu waliacha kazi Afrika wakaenda Oman na wakapata nyadhifa za juu katika utawala wake ...siweI kuelezea zaidi ila muda mwengine tusicomment upuuzi kwa mambo tusiyoyajua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka 49 bila mke wala mchepuko? kuna namna hapa

au sultan alikuwa hanithi?
 
Waoman Zanzibar ndo center yao ...hawawezi kuiacha katika mawazo yao ...hata wale magwanda ya kijani wa Zanzibar wanaikhofia Oman japokuwa serikali ya Oman haina mpango na Zanzibar zaidi ya udugu wa damu raia wa sehemu hizi mbili Mine eyes,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ati nime comment upuuzi?

Cheki huu uharo ulioutapika hapa:

Watu waliondoka kwenda Oman kupata "nyadhifa za juu katika utawala!"

Hayo ndo maendeleo? High ranking government employment ???

Kama unapima maendeleo kwa fursa za "nyadhifa za juu katika utawala" basi Tanzania tumewazidi! Don't be ridiculous.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…