Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

FaizaFoxy,
Inaonekana Tanzania na Oman tuna undugu wa damu.Lakini Kuna kauli za baadhi ya viongozi hasa wa chama tawala huwa kidogo nashindwa kuzielewa.Siasa za Zanzibar Kuna sehemu zinawachukulia Oman Kama Adui,why? Kuna kauli moja ilisema Zanzibar sio nchi ya Hizb.Naomba kujua kwanini huwa Kuna figisu Kama hizi katika siasa za Zanzibar ilihali wa Oman Ni ndugu?
 
January 11, 2020
Muscat, Oman

Siku tatu za maombolezo Oman baada ya 7 Mtukufu Sultan Qaboos kuaga dunia.
Naye mrithi wa Qaboos bin Said, Sultan Haitham bin Tariq Al Said mara baada ya kuchukua mamlaka kama mtawala wa Oman amesema atafuta nyanyo za marehemu Sultan Qaboos ili kuhakikisha Oman inazidi kupiga hatua kimaendelea na pia kuwa kimbilio la nchi zingine kwa kuwa mpatanishi wa changamoto zinazoikabili eneo hilo la dunia .
Oman has declared three days of mourning after the death of its leader, Sultan Qaboos bin Said Al Said. The region's longest-ruling monarch died after a long illness, at the age of 79. His cousin Haitham bin Tariq Al Said has been sworn-in as his successor.

Source: Aljazeera

Kutoka Maktaba :
October 14 , 2017
Unguja, Zanzibar

Ukaribu wa Tanzania na Oman kama ndugu ulidhihirika pale Maulana Mtukufu Sultan Qaboos bin Said alipotuma ujumbe mzito kutembelea Tanganyika na Zanzibar. Tutegemee pia huyu Sultan mpya mwanamichezo, mwanadiplomasia na mtunza utamaduni bila kusahau historia ndefu ataendeleza alipoachia Sultan Qaboos aliponyoosha mkono wa kheri wa diplomasia ya uchumi, mataifa haya mawili yafanye maendeleo ya pamoja chini ya kauli wadau wa maendeleo
Source: KTV TZ online al maaruf kama fahari yetu
 
Wa mwanzo kumbe alikuwa shoga

Usipende kuamini kila comment unayosoma mtandaoni. Qaboos Hakuwa Shoga unless huyo alie comment hivo aliliwa Kiboga na Sultan.
 
Ngoja nikutajie maendeleo yao.

1. Uwezo wa mtu mmoja mmoja kuspend ni around dola 40,000 za kimarekani kwa mwaka, ni zaidi ya nchi kubwa kama uingereza, Ufaransa Etc
Source CIA

2. Kwenye Human development index Oman ipo top 50 duniani na score zaidi ya 8 ni nchi ya ulimwengu wa kwanza na ina maendeleo sana

3. Oman ni ya
-inashika nafasi ya kwanza Duniani kwa kuwa Terrorist free 0 incident
-ya tatu duniani kwa nchi zisizo na crime
-ya 5 duniani kwa kuwa na Polisi wazuri zaidi.

Usisahau Tanzania na Oman hazijatofautiana sana kupata Uhuru ila ndani ya miaka michache wameshafika na hata kuwapita hao waliowatawala.
 
The dude is one of most visionary Leaders, not by words but deeds, conveyed Oman to be a Happy home for its wananchi and everyone was so proud of him, he is one of the most respected leader who did good to his people in course of development, he is one leader GOD gifted the world and entire world, RIP true son of Oman
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu Google kuhusu Oman kijana ili usiendelee kushusha heshima yako bado tunakuamini kuwa wewe ni katika waelewa hapa JF.

Ni google nini tena kuhusu Oman ?

Ukinambia nchi ina mtu katawala miaka 49, kataka kufa kakimbilia hospitali ambazo wenzake hawana access nazo, kaandika kwenye kibahasha eti nani aje kumrithi, tayari umeshanambia kila ninachohitaji kujua kuhusu hiyo sehemu.

That is the text book definition of a third world kleptocracy.

Li kiongozi linajijali lenyewe kwa kodi na jasho la wengine. The quintessence of poor world autocracy.

Sultan Kwabuzi rest in payback.
 
Utabisha tu jamaa alikua fair kwa sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachowasumbua ni uroho wa madaraka tu ...Mapinduzi yashafanyika na wanatawala ila wanawasakama wananchi wa kawaida ambao wanalipa kodi kwa kutumia neno upinzani ...ukiangalia hao wananchi wenyewe asilimia nusu kwa nusu wakati wa Mapinduzi hawakuwepo wala hawayajui na sijui itakuwaje miaka ya mbele baada ya kizazi cha Mapinduzi chote kuondoka duniani labda aina ya siasa hizi zitabadilika ama vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtawekwa pepo ya magaidi, wewe ff ukiwa danga lake
 
Mtawala kakaa miaka 49, anakufa akitibiwa Ujerumani na Ubelgiji, hana madaktari, hana vifaa tiba vya mionzi ya kuchoma chembehai za saratani. Shameless, heartless tyrants. To hell with Sultani Kwabuzi.
Hivi povu lote hili la nini?! Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini alienda Belgium?! Cancer ni sensitive issue, hivi hudhani unaweza kuwa na kila kitu lakini geniuses wa Cancer wakawa nchi nyingine kabisa?!

Hebu wasome hapa World Health Organisation:-

Na ripoti inaendelea kusema:- Ona sasa!! Hata hiyo Belgium, haipo lakini Sultan akaamua kwenda Belgium! Hakwenda hata huko Ufaransa ambako kutokana na ripoti ya WHO, wao ndo best!!! Au unaamini kwa kiongozi wa nchi asingeweza kwenda France?! Lakini hakwenda huko na badala yake akaenda kwenye nchi ambayo hata kujitokeza kwenye top 20 haikutojitokeza!!
 
Hivi povu lote hili la nini?! Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini alienda Belgium?! Cancer ni sensitive issue, hivi hudhani unaweza kuwa na kila kitu lakini geniuses wa Cancer wakawa nchi nyingine kabisa?!


"Cancer ni sensitive issue," sensitive issue kwa nani, raia wote au Sultani Kwabuzi peke ???

Halafu hakuna ugonjwa ambao sio sensitive issue"! We vipi wewe ? Afrika and the larger third world hakuna vifaa tiba, hakuna affordable medicines, hakuna expert practitioners, every disease around here is a "sensitive issue!."

Kama unaweza kuwa na kila kitu lakini huna ma "genius wa Cancer" kwa nini hatusikii wazungu wa Belgium wameenda Tanzania kutafuta " ma genius wa Ukimwi?" Manake sisi tunatakiwa kuwa ma expert wa hizi systemic diseases hizi, uongo? Au kwa nini hatuna "ma genius wa Sickle Cell " wakati ugonjwa huu hushambulia zaidi Waafrika?

Ulaya huwezi kamwe kiongozi kuthubutu kwenda kutibiwa nje, ukirudi airport utapopolewa mayai visa.

Sultani Kwabuzi, Rest in Payback
 
Huyu jamaa kuna uzi pia nilikuwa najibizana nae kuhusu Oman, hana point na kazi yake kumponda tu the late Sultan nawashaur wala msipoteze muda wenu.

Watu kama hawa wana kuwa tiar kuna kitu kimeshawatokea na hata uwambie nini hawa wezi kubadili mawazo yao.

Pole mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hueleweki unachokusudia kusema ni nini.Naona kama ubongo wako umezingirwa na tindikali.
Saratani au figo kushindwa kazi huwezi kulinganisha na malaria au tumbo la kuhara.Siku ukiambiwa una hayo magonjwa basi unaweza ukaanguka kwa sababu dawa zake hazijulikani kwa uhakika na kwa ughali wake unaweza kushindwa kufuatilia tiba ukajifia kimya kimya.
Tatizo jengine ulilonalo ni hilo kuamini kila kitu wafanyacho wazungu ndio sawa na wewe huwezi kubuni cha kwako.Nahofia tukikupa ubunge utaridhia ushoga ufundishwe mashuleni kwa sababu tu wazungu wanaupenda.Kama waafrika wanashindwa kuwa na wataalamu wa maradhi ya sickel cell na maradhi mengine yanayowaibu zaidi sasa wewe walaumu wao sio uwakimbize wazungu kuja kufuata vitu vyengine vya thamani walivyonavyo waafrika.Na vile vile utakuwa na akili za kishoga kushangaa mgonjwa kufuata tiba kwa mtaalamu wa nchi nyengine kwa maradhi aliyonayo iwapo amepata taarifa huko nchi nyengine kuna utaalamu wa ziada kuliko uliopo nchini mwake.
Jee wewe au ndhugu yako hujawahi kutibika kwa dawa rahisi inayopatikana mashambani ambapo hospitali za rufaa zimeshindwa.Sisi waislamu hatuna mipaka katika kutafuta dawa ilmuradi tu isiwe imekatazwa na sharia.
 
Hapo ndipo utaikubali kazi au product ya Muingereza.
 
"Cancer ni sensitive issue," sensitive issue kwa nani, raia wote au Sultani Kwabuzi peke ???

Halafu hakuna ugonjwa ambao sio sensitive issue"! We vipi wewe ?
Mwangalieni huyu! Yaani hadi sasa hujafahamu kwamba ni wewe ndie unapaswa kuulizwa "vipi wewe"!! Wewe hapa umekuja na porojo zako kwamba jamaa kakaa miaka 49 halafu kwao hakuna huduma bora za afya! Nimekupa Ripoti ya WHO, unaanza kuruka ruka; mara Afrika mara Thirld World Countries; wa wapi wewe!!
Too low to argue!! Kwani

Ulaya huwezi kamwe kiongozi kuthubutu kwenda kutibiwa nje, ukirudi airport utapopolewa mayai visa.

Sultani Kwabuzi, Rest in Payback
Ona sasa! Mjadala ni Sultan wa Oman, wewe unatuletea habari za viongozi wa Ulaya kupigwa mayai viza! Au unataka kujifanya ndo unaijua sana Ulaya, sio?! Au wakitupiwa mayai viza ndo ina-prove nini?! We jamaa wa wapi wewe?! Btw, mbona ni mwaka jana tu hapa kuna US Senator alienda kufanyiwa ops Canada?! Unataka kusema yule Senator hakuona best med care US yote na kwahiyo akaikuta Canada?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…