KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Aliyekuwa Mfalme wa Zanzibar Sayyid Jamshid amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo nchini Oman zikiwa zimebaki siku chache kufikia miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomuondoa madarakani na anatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya familia ya kifalme huko Muscat.
Vyanzo vya habari vimethibitisha kifo cha Sayyid Jamshid Al Said ambaye alikuwa Sultani wa mwisho wa Oman visiwani Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Credit: KitengeUpdates