1academ
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 2,316
- 3,567
Delegation toka sultan wa Oman, ikiwakilishwa na H.E Mohammed Bin Hamad Al Ruhmy imetinga mombasa hiyo Jana, baada ya kuwasili walipokelewa na sultan wa Mombasa bwana Ali hassan Joho.
Agreements kadhaa ziliafikiwa baina ya pande zote mbili ikiwa ni pamoja na waomani kujenga logistics hub yao hapo mombasa. Nyingine ikihusisha fursa za ajira kwa wakenya huko Oman na exchange programs Kati ya vyuo vikuu vya Oman na kenya.