Sultani gani aliye na shutuma za mauaji Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Hivi karibuni kijana wa Tanzania Alijeruhiwa kule india. ..ikawa nongwa magazeti mitandao zogo ...wahindi hivi na vile..likawa zogo waziri akatoa statement....kelele na ubaguzi ukashika kasi.
Mwezi huu Watanzania 3 watatu wamepigwa shaba huko USA .....kimyaaaaaaaaaaaaa. Hakuna hao wazungu wabaguzi yaani ni kama aagh madam kauliwa na mzungu it is ok ni sawa tu.....hizi ndio ngano zetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…