Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Sasa mzee kusema tu walikuwa 'wananunua watumwa kwa ajili ya kuwasaidia mashambani' unaelewa maana yake!? Unataka kusema wakishawanunua walikuwa wanawaachia huru au wanaendelea kuwatumikisha kama watumwa katika mashamba yao...unajua tofauti ya 'utumwa' na biashara ya 'utumwa'
Tatizo la Mzee Mhemedi hapendi kuangalia uhalisia wa mambo nje ya imani yake!!! Kwake yeye Muumini mwenziye katu hakosei!!!! Awe wa leo hata wa jana!!!