ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hahhahaha mkuu Pasco nasadiki andiko lako la kifimbo haswaaa ndio uhalisiaMkuu Ilan Ramon, hapa unamaanisha nini?!, utaka kutuambia kuwa huyu nanii ni kichaa?!, au yoyote anayesema Wavamizi Waarabu na Masultani wao wa uvamizi, hawana damu mikononi ni kichaa na mtumwa wa fikra?!, then mimi Pasco wa jf ni kichaa, maana nina uhakika 100% ya 100% masultani wa Zanzibar, hawana damu kabisa mikononi mwao, kwa sababu hawakuua kwa mikono, walioua kwa majambia na mijeledi, damu haikugusa kabisa mikono yao!.
Pasco