Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IR rafiki nikujuze katika Uarabu au kiarabu hakuna jina hilo au herufi ya "P" (Tipu tipu) !!Zamiluni mkuu hata tipu tipu hujamsikia mkuu,soko la watumwa lipo Zanzibar na bagamoyo mbona? Unataka ushahidi gani zaidi?
IR rafiki nikujuze katika Uarabu au kiarabu hakuna jina hilo au herufi ya "P" (Tipu tipu) !!
hiyo imeProve false UONGO mtupu mchana kweupe!! majina ya kiarabu yote tumeyarithi, kama unavyo yasikia daily...
na hiyo ya bagamoyo ni biashara waliyopelekwa kwenye mashamba ya wa faransa huko reUnion islands (Biashara ilifanywa na wazungu bhana msipakizie wengine)!!
Vitabu na picha ni toleo la GERMAN,ITALIAN,FRENCH na babalao BRITISH COLONIAL propargandaz !!!
Pasco
Jamaa_Mbishi
ILAN RAMON
Hawa waliombwa Kuja kumtoa mreno makubaliano hapo sasa huyajui
Ilan Ramon,
Mkoloni gani niliyemsifia?
Tafadhali nifahamishe nipate kukujibu.[/QUOhao wwavamizi(masultani )kutoka Oman mzee wangu
utoto mbaya!! any thing can be planted !!!na was was uelewa wako kama unaita waarabu ni wenyeji wa Zanzibar duh basi kina botha ni wenyeji pia wa south africa! Kaaaazi kweli kweli soko la watumwa ni propaganda ?kweli hamna umaskini mbaya kamma wa fikra
Ilan Ramon,
Tunaweza tukajadili historia ya utumwa ikiwa utapenda.
Uzi huu ni kuhusu ikiwa kuna historia ya sultan yoyote
ambae katika utawala wake alipata kuua raia.
Huu uzi nimeuweka makusudi ili watu wajue historia ya
mauaji yaliyofanywa Zanzibar baada ya mapinduzi.
Ilan Ramon,na was was uelewa wako kama unaita waarabu ni wenyeji wa Zanzibar duh basi kina botha ni wenyeji pia wa south africa! Kaaaazi kweli kweli soko la watumwa ni propaganda ?kweli hamna umaskini mbaya kamma wa fikra
na was was uelewa wako kama unaita waarabu ni wenyeji wa Zanzibar duh basi kina botha ni wenyeji pia wa south africa! Kaaaazi kweli kweli soko la watumwa ni propaganda ?kweli hamna umaskini mbaya kamma wa fikra
Mimi ni mzanzibar mwenyewe asili kiarabu na tupo wengi hapa nchini mimi sipendi kuuficha ukweli hata kidogo lakini Hilo halipo liliopo now halitajwi wala halitaki ushahidi
Mkuu Ilan Ramon, hapa unamaanisha nini?!, utaka kutuambia kuwa huyu nanii ni kichaa?!, au yoyote anayesema Wavamizi Waarabu na Masultani wao wa uvamizi, hawana damu mikononi ni kichaa na mtumwa wa fikra?!, then mimi Pasco wa jf ni kichaa, maana nina uhakika 100% ya 100% masultani wa Zanzibar, hawana damu kabisa mikononi mwao, kwa sababu hawakuua kwa mikono, walioua kwa majambia na mijeledi, damu haikugusa kabisa mikono yao!.Ni kichaaa na mtumwa wa kifikra kusema waarabu/masultani hawana damu mikononi
Nsharighe,
Hujui unachokisema.
Pasco,Mkuu Ilan Ramon, hapa unamaanisha nini?!, utaka kutuambia kuwa huyu nanii ni kichaa?!, au yoyote anayesema Wavamizi Waarabu na Masultani wao wa uvamizi, hawana damu mikononi ni kichaa na mtumwa wa fikra?!, then mimi Pasco wa jf ni kichaa, maana nina uhakika 100% ya 100% masultani wa Zanzibar, hawana damu kabisa mikononi mwao, kwa sababu hawakuua kwa mikono, walioua kwa majambia na mijeledi, damu haikugusa kabisa mikono yao!.
Pasco
Mkuu Maalim, kwa heshma na taadhima, nakuomba kwanza acha chuki zako na wamisionari, pili hata kama lengo lako ni kuutetea Uislamu, lakini mara moja moja kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yako, kwa sababu naamini kabisa unayajua fika madhila yaliyowapata ndugu zetu Wamatumbi wakati wa kipindi chote cha utumwa chini ya Wavamizi Waarabu na utawala wao dhalimu!. Hizo picha japo ni za kuchorwa, kiukweli kilichowapata ni kibaya kuliko hata hicho kilichochorwa!. Chini ya utawala dhalimu wa Waarabu, watumwa wote wanaume walihasiwa!, hicho kizazi chote cha machotara, ni Wanaume dhalimu wa Kiarabu kuwaingilia kwa nguvu watumwa wa kike ambao walinunuliwa mahsusi kama wajakazi, na pale waliposhika ujauzito, wamiliki walikuwa huru, kuwaua kwa kuwatoboa matumbo, kutoa, kiumbe ambacho ndicho kilizikwa, na mwili wa mtumwa ulifukiwa tuu kama mzoga!.Pasco,
Tumia mantiki kidogo tu.
Utanunua mtumwa wa kukutumikia umuue?
Awali nilikuambia kuwa hizo picha za watumwa ulizoweka
si za Zanzibar.
Huo unaosema ni uongo uliotungwa na wamishionari waliokuwa
Afrika katika taarifa zao Ulaya ili waongezewe fedha za misaada.
Pasco,
Soma ulijue somo ndipo ujadili.
Hapa tunazungumza ''atrocities,'' zilizofanywa katika na baada ya
mapinduzi miaka michache iliyopita na bado hii leo tuna tatizo la
Mazombie.
Historia unayotaka kuileta wewe ni ya miaka 200 iliyopita.
Mkuu Afrodance, damu ni kwenye nyororo na kwenye jambia na sio kwenye mikono yao, mikono yao ni safi kabisa!.Mohamed Said naomba unisahihishe kwa hili. Nadhani kipindi hicho utumwa kwa Watanganyika ulikuwa umepamba moto na ulikuwa ukiendelea chini ya hao uliowataja na pia Zanzibar palitumika kama sehemu mojawapo Africa kukusanya na ku Depot watumwa nchi mbali mbali .
Je kama hilo lilitokea chini yao ni sahihi nikisema wana damu mikononi mwao?
Zanzibar/Unguja kuna laana,Damu nyingi za wasio na hatia hulia katika Ardhi yake.Utangulizi
![]()
Masultani 11 waliotawala Zanzibar 1856 - 1964
Hawa masultani 11 waliotawala Zanzibar kuanzia mwaka wa 1856 hadi 1964 kesho kiama siku ya hesabu watamkabili Mola wao mikono yao ikiwa haina damu ya mauaji wala utesaji wa ndugu zao Wazanzibari. Marehemu Aman Thani ameacha kumbukumbu muhimu ya hazina ya wakati mgumu katika historia ya Zanzibar. Aman Thani ameandika na kutoa mihadhara kadhaa akieleza hali ya wasiwasi na unyama iliyogubika Zanzibar baada ya mapinduzi ya mwaka wa 1964.
![]()
Aman Thani
Itachukua muda kwa kizazi cha leo kuijua historia hii ya kusikitisha. Tuna wajibu wa kuisomesha historia hii si kwa nia ya kufukua makaburi na kutonesha makaovu bali kwa nia ya kuonyesha ubaya wa ubaguzi. Viongozi wa leo wana dhima kubwa kuhakikisha kuwa yale yaliyotokea Zanzibar nusu karne iliyopita hayajirudii tena.
Utangulizi
![]()
Masultani 11 waliotawala Zanzibar 1856 - 1964
Hawa masultani 11 waliotawala Zanzibar kuanzia mwaka wa 1856 hadi 1964 kesho kiama siku ya hesabu watamkabili Mola wao mikono yao ikiwa haina damu ya mauaji wala utesaji wa ndugu zao Wazanzibari. Marehemu Aman Thani ameacha kumbukumbu muhimu ya hazina ya wakati mgumu katika historia ya Zanzibar. Aman Thani ameandika na kutoa mihadhara kadhaa akieleza hali ya wasiwasi na unyama iliyogubika Zanzibar baada ya mapinduzi ya mwaka wa 1964.
![]()
Aman Thani
Itachukua muda kwa kizazi cha leo kuijua historia hii ya kusikitisha. Tuna wajibu wa kuisomesha historia hii si kwa nia ya kufukua makaburi na kutonesha makaovu bali kwa nia ya kuonyesha ubaya wa ubaguzi. Viongozi wa leo wana dhima kubwa kuhakikisha kuwa yale yaliyotokea Zanzibar nusu karne iliyopita hayajirudii tena.