Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Ilan Ramon,Mzee nimekushangaa unasifia wakoloni maajabu hayo
Mkoloni gani niliyemsifia?
Tafadhali nifahamishe nipate kukujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilan Ramon,Mzee nimekushangaa unasifia wakoloni maajabu hayo
Maalim Mohamed Said, kama mwana historia, pia ingekuwa ni vema na haki, ungetukusanyia historia ya hawa wavamizi wa Kiarabu, waliotoka zao kwao Arabuni, wakaja kukivamia kisiwa chetu cha asili cha Zanzibar, na kukitawala kwa mabavu, toka mwaka 1932 Sultan Sayyid Said alipotua kwa mara ya kwanza Zanzibar, jee wajua Waarabu hawa waliwafanya nini wenyeji waliowakuta, hadi kuvifanya visiwa hivi ni mali yao?!.Utangulizi
![]()
Masultani 11 waliotawala Zanzibar 1856 - 1964
Hawa masultani 11 waliotawala Zanzibar kuanzia mwaka wa 1856 hadi 1964 kesho kiama siku ya hesabu watamkabili Mola wao mikono yao ikiwa haina damu ya mauaji wala utesaji wa ndugu zao Wazanzibari. Marehemu Aman Thani ameacha kumbukumbu muhimu ya hazina ya wakati mgumu katika historia ya Zanzibar. Aman Thani ameandika na kutoa mihadhara kadhaa akieleza hali ya wasiwasi na unyama iliyogubika Zanzibar baada ya mapinduzi ya mwaka wa 1964.
Itachukua muda kwa kizazi cha leo kuijua historia hii ya kusikitisha. Tuna wajibu wa kuisomesha historia hii si kwa nia ya kufukua makaburi na kutonesha makaovu bali kwa nia ya kuonyesha ubaya wa ubaguzi. Viongozi wa leo wana dhima kubwa kuhakikisha kuwa yale yaliyotokea Zanzibar nusu karne iliyopita hayajirudii tena.
Maalim Mohamed Said, kama mwana historia, pia ingekuwa ni vema na haki, ungetukusanyia historia ya hawa wavamizi wa Kiarabu, waliotoka zao kwao Arabuni, wakaja kukivamia kisiwa chetu cha asili cha Zanzibar, na kukitawala kwa mabavu, toka mwaka 1932 Sultan Sayyid Said alipotua kwa mara ya kwanza Zanzibar, jee wajua Waarabu hawa waliwafanya nini wenyeji waliowakuta, hadi kuvifanya visiwa hivi ni mali yao?!.
Mimi ninazo picha kidogo, nikitoa na maelezo, kuna watu humu yatawatoka machozi, na hawahitaji hata kusikia neno Mwarabu!, ndio maana baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964, yalifurahiwa na kushangiliwa sana hadi leo hii!. Wenyewe wenye visiwa vyao, waliishakula yamini, kwenye visiwa vile, Mwarabu aendelee tuu kuishi, kutokana na kuzaliwa na kulewea, lakini kutawala, aslaan!, alichowafanya kimetosha!, wameamua Mwarabu basi!.
Pasco
View attachment 337510
View attachment 337511
View attachment 337512
View attachment 337508
View attachment 337507
View attachment 337509
View attachment 337513
View attachment 337514
View attachment 337515
View attachment 337516
View attachment 337519
View attachment 337523
View attachment 337524
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Maalim,Pasco,
Isome historia ya Zanzibar kwanza kabla hujarejea kufanya majadiliano
na mimi.
.
Hapo ni kujificha kichwa kwenye kichaka na kuacha mwili wote nje kama mbuni, kama ya huko hayamhusu kwa nini hayo hayo yamesababisha Tanzania kunyimwa hela za MCC na kunyimwa msaada kutoka nchi 10 zinazochangia bajeti yetu? Pia alipeleka viko si vya jeshi la wananchi na vifaru vya kivita kwenda kupigana nchi jirani? Ni kukosa akili na weledi kusema ya ZNZ hayana faida na sisiMh.Rais alisema ya huko hayamuhusu...na sisi tuko chini yake hatuna budi kumfuata...kwa hiyo tuachane na ya ZNZ hayana faida na sisi.wakilikoroga walinywe wenyewe.
Mzee Mohammed si kwa nia ya kubishana ila briefly ungeweka historia ya biashara ya watumwa Zanzibar na ushiriki wa sultan, maana hata wazungu walishiriki biashara hii pia ila naona kama ukoloni wa CCM zama hizi ni mbaya na ubaguzi wa ajabu.[QUOTE"Mohamed Said, post: 15834564, member: 12431"]Ilan Ramon,
Ikiwa unataka mjadala wa historia ya utumwa njoo na adabu zako
kamili tufanye mjadala.
Ukija na lugha za matusi hatutafika popote.
Tutawakaribisha hapa wajuzi wa matusi kukushinda wewe.
Ni kichaaa na mtumwa wa kifikra kusema waarabu/masultani hawana damu mikononiMaalim Mohamed Said, kama mwana historia, pia ingekuwa ni vema na haki, ungetukusanyia historia ya hawa wavamizi wa Kiarabu, waliotoka zao kwao Arabuni, wakaja kukivamia kisiwa chetu cha asili cha Zanzibar, na kukitawala kwa mabavu, toka mwaka 1932 Sultan Sayyid Said alipotua kwa mara ya kwanza Zanzibar, jee wajua Waarabu hawa waliwafanya nini wenyeji waliowakuta, hadi kuvifanya visiwa hivi ni mali yao?!.
Mimi ninazo picha kidogo, nikitoa na maelezo, kuna watu humu yatawatoka machozi, na hawahitaji hata kusikia neno Mwarabu!, ndio maana baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964, yalifurahiwa na kushangiliwa sana hadi leo hii!. Wenyewe wenye visiwa vyao, waliishakula yamini, kwenye visiwa vile, Mwarabu aendelee tuu kuishi, kutokana na kuzaliwa na kulewea, lakini kutawala, aslaan!, alichowafanya kimetosha!, wameamua Mwarabu basi!.
Pasco
View attachment 337510
View attachment 337511
View attachment 337512
View attachment 337508
View attachment 337507
View attachment 337509
View attachment 337513
View attachment 337514
View attachment 337515
View attachment 337516
View attachment 337519
View attachment 337523
View attachment 337524
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ilan Ramon,Mzee Mohammed si kwa nia ya kubishana ila briefly ungeweka historia ya biashara ya watumwa Zanzibar na ushiriki wa sultan, maana hata wazungu walishiriki biashara hii pia ila naona kama ukoloni wa CCM zama hizi ni mbaya na ubaguzi wa ajabu.
Kauli za mapinduzi daima, nchi hatuitoi kwa vikaratasi, waarabu waende kwao nk, inatupa hamu ya kujua history sahihi ya visiwa hivi, pia kwenye uchaguzi wa mwaka 1963 waliopiga kura walikuwa akina nani? Kuna waliozuiwa kupiga kura?
Kwa maana kama waliopindua walikuwa na dhamira ya kuleta haki visiwani huko kwa nini kuna ukandamizaji wa kiwango cha juu cha demokrasia?
Na mwisho CCM kutoka Dodoma na mwarabu kutoka Oman yupi ni mtawala mbaya zaidi ya mwingine? Nasema hivi nikimaanisha CCM ya kisiwandui bila ya vifaru vya kivita vya Magufuli sijui kama wangauweza muziki wa CUF
Kimsingi utawala wa.masultan wote Zanzibar nilikua na tabia zifuatazo..
.unyonyaji kwa Wazanzibar(ambao ni weusi wazawa).
.unyang'anyi ardhi ya Wazanzibar
.ubaguzi wa rangi
.ubinafsishaji wa biashara ya Wazanzibar
.ukatili
.ubakaji
Ivyo basi hapana sultani aliwahi kuwa msafi
Ikumbukwe kuwa masultan waliacha vizazi vyao ambao wengine mzazi mmoja niweusi, au wote waraabu ambao wale wenye asili ya kiarabu tabia hizo takes ni wamerithi mpaka leo hii..
Naona mmefedheheka na kutapa tapa !! mnaleta picha za kuchora na kuchorwa ati utumwa...
Zaidi mmedanganywa katika elimu ya chekechea... Kwanini ktk elimu ya juu hiyo ya slavery hafundishwi?
ILAN RAMON
Pasco
Jamaa_Mbishi hizo hadithi za kupakiziana na kununua Utawala mpya....... Open up!!
Mimi ni mzanzibar mwenyewe asili kiarabu na tupo wengi hapa nchini mimi sipendi kuuficha ukweli hata kidogo lakini Hilo halipo liliopo now halitajwi wala halitaki ushahidi