Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda.
Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa.
Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam.
Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote watajitokeza. Matokeo yake ni;

- Kuchochea maambukizi ya corona kipindi hiki ambacho nchi inakaribiwa na wave ya tatu.
- Kuwapa gharama wahusika ambapo idadi ni kubwa sana kwenye baadhi ya nafasi zinafikia ratio ya 1 kwa 200 kati ya nafasi na waombaji.
- Serikali itengeneza vituo vya mitihani hii hasa kwenye hatua ya oral katika mikoa au kanda fulani. Yule anayejazama awe na option ya kusema atafanyia wapi usaili. Anaweza akachagua baada ya kuwa shortlisted kwa usaili. Vituo hivi viwe vimeunganishwa kwa teknolojia . Yaani mitihani ifanywe online kwenye computer na wasimamizi ndio wasafiri.
- Kwa hali ya sasa na watu walioitwa wahusika wakumbuke kujikinga na kuwakinga watahiniwa na maambukizi ya virusi vya corona. Kuwe na utaratibu wa upatikanaji wa barakoa kwa ambao hawana na vitakasa mikono viwepo pia.