Kristonsia Nkya JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 302 Reaction score 292 Oct 22, 2016 #1 KWAWALE AMBAO SIMU ZAO ZINAKUWA NA JOTO SANA FANYA HAYA:- Kama simu yako ina Joto sana fanya yafuatayo. Ingia Gallery kwenye photos alafu delete picha za watu wote waliovaa masweta. Asanteni Sana
KWAWALE AMBAO SIMU ZAO ZINAKUWA NA JOTO SANA FANYA HAYA:- Kama simu yako ina Joto sana fanya yafuatayo. Ingia Gallery kwenye photos alafu delete picha za watu wote waliovaa masweta. Asanteni Sana
krishna Member Joined Sep 2, 2016 Posts 48 Reaction score 20 Oct 22, 2016 #2 Hahahahaha ngoja nijaribu aisee
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,265 Oct 22, 2016 #4 issawema said: 1:4 Click to expand... Hiyo haihusu jukwaa la utani.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 Oct 22, 2016 #5 Nipo jukwaa sahihi?
elineema William JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 577 Reaction score 288 Oct 22, 2016 #6 Sasa kama wte hawana masweta nifanyaje watoe nguo ??