Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
KWAWALE AMBAO SIMU ZAO ZINAKUWA NA JOTO SANA FANYA HAYA:-
Kama simu yako ina Joto sana fanya yafuatayo.
Ingia Gallery kwenye photos alafu delete picha za watu wote waliovaa masweta.
Asanteni Sana